Tujikumbushe: Udaku wa JF, Miaka 10 iliyopita.

Kizazi cha moto,. Na hao ndio genZπŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Kabisa, hakukuwa na matusi.
Kuna mahali tulikuwa tunapishana lakini hatukufunjiana heshima kabisa.

Kuna zoezi moja na kumsaka miss jf lilitugawanyisha kabisa.
Ila lilivyoisha tukawa sawa tena na maisha yakaendelea.
 
Yeah! Hapo kati nyie mlitusuana sana.
Sisi wa 2012-2017...
Ilikuwa tofauti kidogo
 
Kizazi cha moto,. Na hao ndio genZπŸ˜„πŸ˜ƒ
Wengi wa miaka ile wanaangukia Gen Z,wakati huo balehe inakolea
Gen Z mliojoin kuanzia 2020 mmepoa kama uji wa mgonjwa hahahah

Wakati wetu sisi mtu anaamka anaamua kuanzisha uzi wa kuwaelezea members kwamba anakujua na akiombwa picha yako anaituma huku wewe mwenye picha usijue picha iliyowekwa ni ya nani
 
🀣🀣🀣
 
Kabisa, hakukuwa na matusi.
Kuna mahali tulikuwa tunapishana lakini hatukufunjiana heshima kabisa.

Kuna zoezi moja na kumsaka miss jf lilitugawanyisha kabisa.
Ila lilivyoisha tukawa sawa tena na maisha yakaendelea.
Hapa lazima moto uliwaka. Sipati picha namna mnyukano ulivyokuwa.
 
Hahah ila kweli sisi tumepoa mnooπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Hivi hili suala la picha huwa inakuwaje maana utakuta limtu linakazania huyu ni wewe unabaki tu kushangaa na wa kwenye picha humjuiπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata sasa mnafaidi.
Kwa mfano mimi nimehamia kwenye michezo sasa.
Mapenzi na Chitchat sio kivile tena.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ukishakua mtu mzima mapenzi unawaachia watotoπŸ˜ƒπŸ˜„,.

Mwenyewe nadhani nitahamia jamii intelligence niachane na MMU na chitchat sikuizi hakuna jipya
 
Aisee tumeshazeeka Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…