Hawa ni wale wa Zombe au ni wengineKama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini darisalama aliyeitwa JB Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
Fungua code mkuu wengine hatukuwepoJB mzeee wa EXTRA BONGO enzi hizo Hapo Dar West imebamba, Meeda iko on Fire, Ukienda Vingunguti unamkuta Mama Sakina anakimbiza. Ukienda Tabata unamkuta Mzee Proffesa Mushoro yuko Rufita Night Park.
Daaaah Tumezeeeka aysee tuache vijana wale bata sasa. RIP Pedeshee JB uliondoka na radha ya Muziki wa Dansi maaaana ulifanya Muumin, Choki, RIP Banza wawe na thamani
Ajabu sana na ndio tunawategemea ktk kutulindaPolisi wetu wanaomba wasishitakiwe kwa uhalifu wao
Zombe Yupo Mkambalani MorogoroHawa ni wale wa Zombe au ni wengine
Yani wewe kweli kabisa ulikuwa unamfahamu vema kongole mzee.JB mzeee wa EXTRA BONGO enzi hizo Hapo Dar West imebamba, Meeda iko on Fire, Ukienda Vingunguti unamkuta Mama Sakina anakimbiza. Ukienda Tabata unamkuta Mzee Proffesa Mushoro yuko Rufita Night Park.
Daaaah Tumezeeeka aysee tuache vijana wale bata sasa. RIP Pedeshee JB uliondoka na radha ya Muziki wa Dansi maaaana ulifanya Muumin, Choki, RIP Banza wawe na thamani
Tulia Hapa UtajuzwaHii siikumbuki sijui ilinipita vipi?
Asante kwa ukaribisho mkuu.Tulia Hapa Utajuzwa
Sad!!!Mkuu hawa ni wengine kabisa wala hawahusiani na kina abdala zombe hawa waliuwawa morogoro mitaa ya nanenane Walipigwa risasi nyingi sana na waliuwawa wote saba acha tu mkuu.
Nilimkuta maeneo hayo amefunga vishikizo vya shati vimepishana pishana kichekeshoZombe Yupo Mkambalani Morogoro