King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wako wapi , usikute nao marehemu. Mjinga mmoja anatapatapa Mara achimbe kaburi, juzi kaagiza jeneza full kubabaika na bado shenzy
Ni zaidi ya 10, nadhani ilikuwa 2006 au 2007
Ngwizukulu jilala nilikua namsimkia saana na kumsoma enzi hizo nakuwa kwenye magazeti ya maisha
Ebu mkuu tujuze kuhusu kifo chake ilikuwaje?
Nafikiri alikuwa NoraAlimuoa dada muingizaj miaka iyo Nina nafikir......hawa jamaa walikua ni majambaz matapeli na waganga waongo
Yes2004-2005 iv
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Pale kitaji kuna tukio liliwahikutokea kulikua na mahakama..mtuhimiwa kaomba apelekwa chooni..alikimbilia kwenye bwawa la kitaji,polisi wakashindwa kuingia ikabidi walizunguke bwawa.jamaa alijificha kwenye magugu akawa ameacha pua tu kwa ajili ya kuvuta hewa...jamaa hawakumpata
Class mateMwaka huo nilikuwa kidato cha nne Kigurunyembe secondary[emoji849]Dah nimezeeka
Long time aiseeEwaaa,Ndio alimnunulia Alichoki viatu flan hivi vikapewa jina la alichoki,Vilitoka Italy.RIP JB
Nora.Nafikiri alikuwa Nora
Mtwara......!!!!Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB
Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
Alikuwa ni jambazi tu ile sijui ufadhili wa mziki ni zuga tuJB nje ya Uganga alikuwa Jambazi Yule Naona kuna watu wanamtetea Humu
Nafikili kuna watu hawamjui huyu jamaa tulikuwa tunakutana Sehemu na tena alitaka kunishilikisha tupige dili moja Mimi nikakataa sababu Kwanza nilikuwa na umri wa miaka 14Alikuwa ni jambazi tu ile sijui ufadhili wa mziki ni zuga tu
Na ktk wenzake pia waliyouliwa
Alikuwepo jamaa mmoja anaitwa simba alikuwa mbavu hivi naye aliuliwa....huyo alikuwa master wa kuvunja milango ya chuma kwa kutumia/kuchoma gesi
Ova
Niue bana timiza ahadi acha porojo.Upo hai ? Umepotea.
Wacha kaburi, kanunua mzinga wa sanduku la bei kali sana!Huyu sabasita si ndo kajichimbia kaburi juzi?