Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Hata Mimi nimeshangaa JB alikuwa tapeli mpigaji siku hiyo alikuwa amepiga Hela ndefu sana inasemekana mtu wake wa karibu akamuuza Kwa askari then Askari waka mshoot yeye Na wote walio kuwa ndani ya gari on a pretext that they were armed robbers Kisha wakachukua mkwanja
JB hakuwa Jambazi , ni hisia zako tu wewe humfahamu JB.
Hata hao watu hawakumfahamu JB vizuri.
 
Huyu mtoa mada katoa taarifa zisizo za kweli, JB na wenzake walikuwa majambazi kweli na waliwekewa mtego palepale Moro walipotaka kuiba sehemu. Hawakutokea Mahenge
Toa code sahihi mzazi
 
Huyo mwanamke alikuwa mshenzi sana na alitafutwa muda mrefu . Enzi Ile majambazi wengi walikuwa maskani yao Morogoro, wakijificha vijijini ni ngumu kuwajua na ni karibu na town kwa hiyo wanakuja dar na kwengineko wanapiga tukio then wanakimbilia Moro.

Huyo mwanamke nadhani alitandikwa Shaba na Afande Sabasita huyu aliyejijengea kaburi maana nae alikuwa sniper mzuri sana kwa kutumia pistol maana huyo mwanamke alikuwa hawampati.
Ushenzi wake ulikuwa Nini?
 
Zombe Yupo Mkambalani Morogoro
Huyu Zombe na polisi wenzake akina bageni waliwauwa akina Chigumbi watatu na taxi driver wao msitu wa pande wakapora 71 million na madini Kisha wakasema ni majambazi wamewaua mwenge.
Mungu anawaona, mahakama ikawaachia, kwa mtindo wa chadema wanasema imetenda haki mtu akiachiwa.
 
Wale WA Zombe walichukuliwa pale Sinza Palestina kwenye kile kijia kinachopita mbele ya ule msikiti,kulikuwa na kigrosari wanapata kinywaji na yule dereva taksi walimchukua palepale kijiwe cha palestina
Kweli hakuna mtu wa kukata rufaa ile hukumu ipitiwe upya maana ushahidi ulitolewa Hadi na yule aliyeiba pesa za BIDCO ambapo polisi walisema akina Chigumbi walifanya ujambazi wa kupora pesa za BIDCO.
Yule jambazi aliiambia tume kwamba yeye alikula njama na dereva wa BIDCO wakaiba zile pesa yeye akakimbilia Zanzibar.
Sikuamini siku ile hukumu kwamba Zombe na wenzake walikutwa hawana hatia na hatia akakutwa nayo mwenzao aliyetoroka na hakupatikana Hadi leo.
Mahakama na police wanaonea Sana watu Mungu awalaani Sana.
 
Ushenzi wake ulikuwa Nini?
Alikuwa anajua kutumia silahha hatari no moja kati ya majambazi waliosumbua sana askari maana alikuwa wa front kwenye matukio makubwa na alisumbua sana askari.
 
JB alikua anapiga miguu yote mwanamazingaombwe baadae ujambazi,alikua anakaa kitaji Musoma..utapeli wake alikua anapiga nje ya mji,anakuja kufanya fujo za pesa Musoma...alivuma sana enzi hizo kwamba anafuga chatu nyumbani kwake...
Kwake kitaji jirani na lile bwawa nakumbuka ilikuaga ni njia ya kupita
 
Back
Top Bottom