Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JB hakuwa Jambazi , ni hisia zako tu wewe humfahamu JB.
Hata hao watu hawakumfahamu JB vizuri.
Anatandika vitanda vya wanaokwenda kunjunjana kwenye gesti yake.Zombe Yupo Mkambalani Morogoro
Ndiyo Ukweli WenyeweAnatandika vitanda vya wanaokwenda kunjunjana kwenye gesti yake.
Maisha haya nyieee.
Ulikua hujaja Mjini. Bado unavutia kamasi huko Nangurukuru enzi hizoHii siikumbuki sijui ilinipita vipi?
angekuwa hana hata hiyo guest ungeandika nini??Anatandika vitanda vya wanaokwenda kunjunjana kwenye gesti yake.
Maisha haya nyieee.
Toa code sahihi mzaziHuyu mtoa mada katoa taarifa zisizo za kweli, JB na wenzake walikuwa majambazi kweli na waliwekewa mtego palepale Moro walipotaka kuiba sehemu. Hawakutokea Mahenge
Tupo ma odinali kibao [emoji23]2004 waliokuwa washafika mjini DAR wanahesabika
oi ebwana dar!Tupo ma odinali kibao [emoji23]
Ushenzi wake ulikuwa Nini?Huyo mwanamke alikuwa mshenzi sana na alitafutwa muda mrefu . Enzi Ile majambazi wengi walikuwa maskani yao Morogoro, wakijificha vijijini ni ngumu kuwajua na ni karibu na town kwa hiyo wanakuja dar na kwengineko wanapiga tukio then wanakimbilia Moro.
Huyo mwanamke nadhani alitandikwa Shaba na Afande Sabasita huyu aliyejijengea kaburi maana nae alikuwa sniper mzuri sana kwa kutumia pistol maana huyo mwanamke alikuwa hawampati.
Hapo dish limeyumba usikute!Nilimkuta maeneo hayo amefunga vishikizo vya shati vimepishana pishana kichekesho
Huyu Zombe na polisi wenzake akina bageni waliwauwa akina Chigumbi watatu na taxi driver wao msitu wa pande wakapora 71 million na madini Kisha wakasema ni majambazi wamewaua mwenge.Zombe Yupo Mkambalani Morogoro
Kweli hakuna mtu wa kukata rufaa ile hukumu ipitiwe upya maana ushahidi ulitolewa Hadi na yule aliyeiba pesa za BIDCO ambapo polisi walisema akina Chigumbi walifanya ujambazi wa kupora pesa za BIDCO.Wale WA Zombe walichukuliwa pale Sinza Palestina kwenye kile kijia kinachopita mbele ya ule msikiti,kulikuwa na kigrosari wanapata kinywaji na yule dereva taksi walimchukua palepale kijiwe cha palestina
Kumbe humu wakati mwingine tunatukanwa na watoto wetu wa mwisho.2004 nilikua sijazaliwa
Alikuwa anajua kutumia silahha hatari no moja kati ya majambazi waliosumbua sana askari maana alikuwa wa front kwenye matukio makubwa na alisumbua sana askari.Ushenzi wake ulikuwa Nini?
Kwake kitaji jirani na lile bwawa nakumbuka ilikuaga ni njia ya kupitaJB alikua anapiga miguu yote mwanamazingaombwe baadae ujambazi,alikua anakaa kitaji Musoma..utapeli wake alikua anapiga nje ya mji,anakuja kufanya fujo za pesa Musoma...alivuma sana enzi hizo kwamba anafuga chatu nyumbani kwake...
Hivi we ni Mungu mpaka ujue nyendo zote za mtu?JB hakuwa Jambazi , ni hisia zako tu wewe humfahamu JB.
Hata hao watu hawakumfahamu JB vizuri.
Hivi we ni Mungu mpaka ujue nyendo zote za mtu?