Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Ngwizukulu jilala nilikua namsimkia saana na kumsoma enzi hizo nakuwa kwenye magazeti ya maisha
Ebu mkuu tujuze kuhusu kifo chake ilikuwaje?

Alimuoa dada muingizaj miaka iyo Nina nafikir......hawa jamaa walikua ni majambaz matapeli na waganga waongo
 
Pale kitaji kuna tukio liliwahikutokea kulikua na mahakama..mtuhimiwa kaomba apelekwa chooni..alikimbilia kwenye bwawa la kitaji,polisi wakashindwa kuingia ikabidi walizunguke bwawa.jamaa alijificha kwenye magugu akawa ameacha pua tu kwa ajili ya kuvuta hewa...jamaa hawakumpata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama miaka kumi iliyopita kuna wafanyabiashara wa madini walikuwa nane walikuwa wanaenda Mahenge walipofika nanenane walimiminiwa risasi na Polisi wakidhaniwa ni majambazi akiwemo aliyekuoa mfadhili wa bendi nyingi za muziki mjini Darisalama aliyeitwa JB

Mnaokumbuka vizuri tukio hili mtukumbushe.
Mtwara......!!!!
Zombe scenario
Hamza msomali
 
JB nje ya Uganga alikuwa Jambazi Yule Naona kuna watu wanamtetea Humu
Alikuwa ni jambazi tu ile sijui ufadhili wa mziki ni zuga tu
Na ktk wenzake pia waliyouliwa
Alikuwepo jamaa mmoja anaitwa simba alikuwa mbavu hivi naye aliuliwa....huyo alikuwa master wa kuvunja milango ya chuma kwa kutumia/kuchoma gesi

Ova
 
Alikuwa ni jambazi tu ile sijui ufadhili wa mziki ni zuga tu
Na ktk wenzake pia waliyouliwa
Alikuwepo jamaa mmoja anaitwa simba alikuwa mbavu hivi naye aliuliwa....huyo alikuwa master wa kuvunja milango ya chuma kwa kutumia/kuchoma gesi

Ova
Nafikili kuna watu hawamjui huyu jamaa tulikuwa tunakutana Sehemu na tena alitaka kunishilikisha tupige dili moja Mimi nikakataa sababu Kwanza nilikuwa na umri wa miaka 14
 
Back
Top Bottom