Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

Nimekumbuka lugha ya kugeuza maneno kinyume nyume...
Mfano
Msela...laseM
Shule...leshu
Andazi...Zindaa
 
Kimama mama Kila siku walikuwa wananieka mtoto..nlikuwa sipendi mimi kutumwa dukani af wenzio wanaingia kwenye banda la kuku eti ndo chumbani.

Kuchezesha vichupa sijui unaikumbuka hii..

Ice cream za uchoyo teh..a.k.a nimeshatemea mate hakiombeki
Vichupa ni ile rede ya Vichupa au?

Teh kibaba baba na kimama mama sio kizuri kwa watoto. Kuna muda wanafanyaga kweli[emoji85] [emoji85]
 
Vichupa ni ile rede ya Vichupa au?

Teh kibaba baba na kimama mama sio kizuri kwa watoto. Kuna muda wanafanyaga kweli[emoji85] [emoji85]

Hahaa..labda siku hizi ndio sio nzuri sababu ya utandawazi. Zamani wala haikuwa na madhara.
 
Hahaa..labda siku hizi ndio sio nzuri sababu ya utandawazi. Zamani wala haikuwa na madhara.
Wee me hadi zamani nishawahi kuona, usicheze na akili za watoto. Sijui wanajulia wapi mambo hayo, watoto wa dot com wanacheza basi hawa
 
Mkuu kama serikali ya nchi ingekuwa na mfumo mzuri leo hii ungekuwa unafuma kbs magari.
 
Daah..Umenikumbusha Tina na Mjuba..Kipindi hicho Tausi iko hot mbaya...wakina Dama,Siti bin Kasri,Kalumanzira,Rhoda,Lindi, Balaza n.k ....Kitambo sana aisee

Yani kumbe zamani mnaizungumzia hii zamani ya Juzi wakati TV tayari zipo?? Ama kweli tumetofautiana.

Mzee mwenzangu Dark City njoo ushuhudie zamani za vijana wetu uburudike kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Yani kumbe zamani mnaizungumzia hii zamani ya Juzi wakati TV tayari zipo?? Ama kweli tumetofautiana.

Mzee mwenzangu Dark City njoo ushuhudie zamani za vijana wetu uburudike kidogo.

Hahahahahahah,

Zamani zao ni mwaka 2000 na kuendelea.....siyo vibaya...

Sie tunaongelea enzi za bamping na twist....

Hata hivyo yote ni mema!
 
Mkuu kama serikali ya nchi ingekuwa na mfumo mzuri leo hii ungekuwa unafuma kbs magari.

Kabisa mkuu...ila ndo ivo wakaua kiwanda cha Nyumbu kimekuwa mabanda ya kufugia njiwa
 
Yani kumbe zamani mnaizungumzia hii zamani ya Juzi wakati TV tayari zipo?? Ama kweli tumetofautiana.

Mzee mwenzangu Dark City njoo ushuhudie zamani za vijana wetu uburudike kidogo.

Mimi zamani yangu ni 1990-2003 labda...bt all in all kwetu ni zamani...hata wewe kuna zama hukuzikuta Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kweli watoto wa kotaz na geti kali waliishia kuchungulia kupitia fensi zao huku wakitamani ila ndo hivyo tena 'sisi' wa uswahilini tuli enjoy vilivyo.
 
Reactions: Art
kuna hili songi nimekumbuka

Mungu mkubwa, bwa bwabwa na samaki, ki king majuto, to tone la maji, ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje

inaanza iv"ko koma kunipiga,ga gari la baba,ba baba mzazi,zi zizi la ng'ombe,mbe mbele ya nyumba,mba mbali na wewe,we wembe wa kucha,cha chakula kichafu,fu fuvu ka kale..umenikumbusha mbali sana kaboom
 
Bado kushindana darasani kimasomo wakuu namba moja hukai Mara mbili watu washakutoa siku hizi namba moja ni huyo huyo kuanzia la nne hadi la saba
 
Reactions: Art
ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje[/QUOTE]

By bubu hasemi,mi Mimi Mdogo,go gogo la mti ti Tina na Mjuba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…