Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna hili songi nimekumbuka
Mungu mkubwa, bwa bwabwa na samaki, ki king majuto, to tone la maji, ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje
Bu bubu wa semii....mi mimi mdogo.......go gogo la mti ti tina na mjuba..ba...
Nmekumbuka enzi zile kitu ya kombolelaaaa...
Banda umizaaa.....dj afro...
Pale moro, mafiga..real miss
Hii kombolela umenikumbusha ya kubadilishana nguo..aisee siku hizi watoto hawafaidi kabisa.
Mkuu ongeza na "makida makida" sana mabinti walipenda sn huu mchezo na ulivuma sn kitambo iko...walikuwa wakiruka kwa kutumia mpira mwembamba wa manati km sikoseiBila kusahau 'bilingeba yoyo bilingeba yo..tunamuomba talentboy atuoneshe maringo yke bingilibingili mpaka chini"...,...aisee!Ila mkuu hii si ilibidi uipelleke kule 'chit chat' hii.
Eeeh ulikaa mafiga kaka mtumishi, mwee usikute ushawahi kuniona dada ako enzi zangu za usichana kwenda shule na kidumu na ufagio teh
Hahhahaha hatari kabisa.Dada mtumishi pale kulikuwaga na ligi ya chadimu kati ya sobibo na timu gan sijui uwanja wa mafiga ps..kombe ni wale wadudu wanaitwa pimbi, pia wale wengine wanaitwa 'siri'
Tena tulicheza komborelaaaa.....
Nmekumbuka tuu jinsi ulivyokuwa unapenda kubadilishana nguo....
Bu bubu wa semii....mi mimi mdogo.......go gogo la mti ti tina na mjuba..ba...
Nmekumbuka enzi zile kitu ya kombolelaaaa...
Banda umizaaa.....dj afro...
Pale moro, mafiga..real miss
Hakuna mchezo wa mpira mtamu kama one touch
We ulikuwa unabadilishana na mkaka au mdada nguo?
Mitoto ya siku hizi iulize kuhusu series za kikorea tuuu,
Moro Mafiga, Mtaa gani mkuu?
Hahaha kombolela la jioni jioni afu nguo mmebadilishana daah
Yeyote tu..sana sana wakaka. Si unajua mtaani pale kitoto toto Kila mtu anakuwa na crush wake,basi wakisema Leo ya kubadilishana nguo Kila mtu anamuwahi wake.
1.Kibaba baba na kimama mama hehhehehehhe
2. Mdako
3. Tulikuwa na yale madoli basi tunapishana tu kuyafanyia birthday party. Tunajipikilishaje
4. Ukuti Ukuti, wameme wameme
Afu kulikuwa na ice cream za vijiti a.k.a ice cream za uchoyo.