Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #141
Mbuyi Yondani & Kevin Yondani
Umenikumbusha mtu huyu hamad said masenga waqt huo reli kweli ilikuwa kiboko ya vigogo bila kumsahau Ali malilo loketo au kidudumtu.
Nakupa active players
Mbwana &Mohammed Samatta
Hassan Dillunga&Said Dillunga
Lila Shomari na Alan Shomari, mmoja alikuwa Simba mmoja Yanga.
Ila sijui kama huyu Shomari Kapombe naye ni uzao wa hawa?
Kuna Biniface Njohole wa Reli Moro, siku hizi yupo Ibrahim Njohole wa Mbao FC.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa taarifa, na vipi kina Lila Shomari na Alan Shomari kama una taarifa yoyote?Hapana. Shomari Kapombe ni mtoto wa mchezaji wa zamani kutoka Morogoro, SALUM KAPOMBE
huyo Simeon na Philiph inzaghi ni MTU mmoja hakuna wawiliWengi mnooo mkuu, sijui huyu rui costa na victor costa nyumba nao ni ndugu!!!
Diego milito, gabriel milito
Kolo toure, yaya toure
Kasper, peter schemeichel
Brian na michael laudrup
Jordi na johan Cruyff
Kina pogba
Justin na patrick kluivert
Simeone na paul inzaghi
Adur na edu gudjohsen
Frankie na ronald de boer
Zidane na enzo zidane
Paul na cesare maldini
Etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
MTU na mjomba wakeFrank Lampard & Harry Redknapp
MTU na mjomba wakeFrank Lampard & Harry Redknapp
Watu wawili tofautihuyo Simeon na Philiph inzaghi ni MTU mmoja hakuna wawili
Mmoja mchezaji mmoja wakalaRonald de asis moneira na Robert de asis moneira
unazingua bossπππππkelvin john mbappe na kylin lotin mbappe
ila huyu Simeoni hivi kakipiga klabu gani maana Philip kacheza rossaneri, sasa hapo mkubwa yupiWatu wawili tofauti
Sunday Manara na Kitwana Manara na Kassim Manara, Peter Tino, Emma Peter , Gebo Peter, Abassi Dilunga, Maulid Dilunga, Haidary Abeid na Khalid Abeid, Issa Athumani Na Kassongo Athuman , Madaraka Selemani na Iddi Selemani nkSoka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.
Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
Kacheza S.S. Lazioila huyu Simeoni hivi kakipiga klabu gani maana Philip kacheza rossaneri, sasa hapo mkubwa yupi