kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
wabaya wa man uMathew & Sean longstaffView attachment 1225525
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabaya wa man uMathew & Sean longstaffView attachment 1225525
Magosso kitasa huyu jamaa pamoja na iddi Suleiman (meya au kibode )nduguye madaraka ndio watu almarhumu said mwamba aliwaheshimu sana na hakuwa analeteana nao rabsha.Ni kweli Mkuu! Walikuwa wanasafiri kwa Treni afu behewa lao limeandikwa KIBOKO YA VIGOGO! Pale JAMHURI Morogoro, Mnyama alipigwa 4-2! Hao akina MASENGA tayari washamtoa MASENGA mwengine anachezea MTIBWA na alicheza ile Fainali ya U20 v Azam FC ambayo MTIBWA akaibuka bingwa!
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.
Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!
Anaitwa Mohammed sammata now yupo KMCNadhani nyambochi1 alidhamiria kumtaja Ally Samatta - baba yao aliyekipiga miaka ya 60 na si huyo wa Tanzania Prisons.
Mohamed SamattaNadhani nyambochi1 alidhamiria kumtaja Ally Samatta - baba yao aliyekipiga miaka ya 60 na si huyo wa Tanzania Prisons.