Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Ni kweli Mkuu! Walikuwa wanasafiri kwa Treni afu behewa lao limeandikwa KIBOKO YA VIGOGO! Pale JAMHURI Morogoro, Mnyama alipigwa 4-2! Hao akina MASENGA tayari washamtoa MASENGA mwengine anachezea MTIBWA na alicheza ile Fainali ya U20 v Azam FC ambayo MTIBWA akaibuka bingwa!
Magosso kitasa huyu jamaa pamoja na iddi Suleiman (meya au kibode )nduguye madaraka ndio watu almarhumu said mwamba aliwaheshimu sana na hakuwa analeteana nao rabsha.
 
Soka ni mchezo wa aina yake, unafatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni. Kuna baadhi ya wachezaji wametoka katika familia za soka. Unakutana baba na wanawe au mtu na kaka, mjomba, binamu yake wote wamecheza soka kwa kiwango cha juu. Mfano kwa Tanzania kuna akina Salum Swedi na Said Swedi. Hawa ni mtu na kaka yake.

Karibuni wadau tujikumbe wachezaji wa soka ambao wana undugu, iwe bongo au ulaya!


Gary na Phil Neville, mimi na ndugu zangu.
 
Julio Iglesias na familia yake japo waligeuka kuwa wanamuziki. Baba yao Julio Iglesias amewahi kuwa goalkeeper wa Real Madrid.
 
Back
Top Bottom