Kitumbikwela
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 140
- 99
Acha kiki za ksengggeDiamond Stars!
Ni kweli mkuu, iliwauma sana Wanaigeria ukizingatia waliandaa wao michuanoIle Penalty kwa technology ya sasa lingewekwa kati
Inasemekana Nii Lamptey alikuwa na kipaja kikubwa sana lakini sijui kipi kilimsibu akashindwa kutimiza ndoto zakeWatu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgiji
Kipande cha baba hivi japo kijebakuna mtu mmoja alikua msumbufu sana.anaitwa Ndiefi wa pale Cameroun ha ha ha ah
Unamkumbuka Riyadh Jaidi wa Tunisia?riyadh bhouzoz wa tunisia,mustafa hadji,yousef hadji,lucas radebe,mark fish,philiph masinga
Alikiwa ni nahodha haswa, aliongoza kwa mfano.Dah hiyo picha ya Steven Appiah imenikumbusha na kombe la dunia 2006 jamaa alikuwa Faru John aiseee
Aliingiwa na mchecheto mkuuKwenye ile penati nilimlaum yeye mwenyewe, badala ya kushangilia alijishika kichwa hivyo akawa amemsaidia refa kufanya maamuzi.
Aliingiwa na mchecheto mkuu
Wengi wanasema kukosekana kwa Pele katika fainali kuliidhoofisha mno Ghana.Moja kati ya fainali za kihistoria katika michuano hii ilikuwa mwaka 1992 kati ya Ivory Coast na Ghana nchini Senegal.
Katika mechi hiyo Ivory Coast walishinda kwa penati 11-10, penati ya mwisho ya Ghana alipiga Tony Baffoe alikosa, Pele hakucheza alikuwa na adhabu ya kadi aliyopata kwenye nusu fainali na Nigeria.