Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Moja kati ya fainali za kihistoria katika michuano hii ilikuwa mwaka 1992 kati ya Ivory Coast na Ghana nchini Senegal.
Katika mechi hiyo Ivory Coast walishinda kwa penati 11-10, penati ya mwisho ya Ghana alipiga Tony Baffoe alikosa, Pele hakucheza alikuwa na adhabu ya kadi aliyopata kwenye nusu fainali na Nigeria.
 
Ao watu uliowataja ni hatari, Zanzibar alikalishwa 8-0 akaja stara aka kaa 2-1. Lakini wengi walikuwemo kwenye ile ajali ya ndege. Sijui lini itakujazambiakamaile?
 
Peter rufai,Lauren mayer,Ferdinand Cole,jaidi, mark fish,Solomon olembe,mustapha Hadji,okocha,ndiefi,aboutreka, kanu,MY XI AFCON OF ALL THE TIME
 
enzi hizo hata kama demu alikuwa na ahadi ya kuja geto unamwambia njoo kesho kutwa kichwani unakwenda kumwangalia MUTOTO MUDOGO KABISA KWENYE TIMU YA CAMEROUN SAMWEL ETO'FILS yaani kadogo hakajawahi kutokea bench toka 1992
 
Hadi leo fainali ninayoikumbuka ni ya 2000..cameron na nigeria..yaani kipindi hicho hakuna mechi naacha angalia...
Michuano imepoteza mvuto kabisaaa
 
Babangida, west, ikpeba, Okocha, Kanu, Mboma, Chansa, Aboutrika yani list ndeefu tangia 1994 nikiwa mdoogo na ni crazy fan wa soccer
 
Watu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgiji
Inasemekana Nii Lamptey alikuwa na kipaja kikubwa sana lakini sijui kipi kilimsibu akashindwa kutimiza ndoto zake
 
Moja kati ya fainali za kihistoria katika michuano hii ilikuwa mwaka 1992 kati ya Ivory Coast na Ghana nchini Senegal.
Katika mechi hiyo Ivory Coast walishinda kwa penati 11-10, penati ya mwisho ya Ghana alipiga Tony Baffoe alikosa, Pele hakucheza alikuwa na adhabu ya kadi aliyopata kwenye nusu fainali na Nigeria.
Wengi wanasema kukosekana kwa Pele katika fainali kuliidhoofisha mno Ghana.

Ni kama Ballack alivyokosa Fainali ya World cup 2002 kulivyoiathiri Ujerumani.
 
Back
Top Bottom