Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Mi namkumbuka Junior Agogo alipewa mke. Sijui kama alibeba.
 
Rogermila na Makanaki, wa Cameroon.... Bila Ya Kumsahau Abed Pele Wa Ghana.... Na Mmoja Ambaye Alifika Hata Tanzania Mbele Ya Aliy Hassan Mwinyi Akiitwa Bolizozo..
 
Henry camara, sibosuso zuma, Denis Oliechi
 
Peter Mwanza ndiyo aliumia siku moja kabla hawajaondoka na ndipo akaitwa Whiteson Changwe kuziba nafasi yake!Peter Mwanza nilionana nae Kyela mwezi wa 6 mwaka jana akaniambia ile ajali imemfanya hadi leo asilale vyema sababu aliwasindikiza wenzake yy anachechemea hadi Airport
Wengine walio poteza maisha siku ile ni pamoja na:
kipa namba mbili Richard Mwanza
Timotheo Mwitwa
Wisdom Mumba Chansa
Samuel Chomba
Mosses Masuwa
Kenan Simambe
Godfrey Kangwa
Winter Mumba
Patrick Banda
Makocha ni pamoja na Godfrey Chitalu"Ulcar"na msaidizi wake Alex Chola
Zambia hawaji kupata team kama hii!
 
Huyu chitalu wazambia wanakwambia alifunga magoli mengi msimu mmoja wanashangaa rekodi kuvunja Messi . Yaah mwanza ndio aliumia na penye mahojiano alisema anaona kama nae amekufa haamini
 
Rogermila na Makanaki, wa Cameroon.... Bila Ya Kumsahau Abed Pele Wa Ghana.... Na Mmoja Ambaye Alifika Hata Tanzania Mbele Ya Aliy Hassan Mwinyi Akiitwa Bolizozo..
Wewe una utani na Simba Sc, kumtaja Bolizozo saa hizi si bure, itakuwa umetumwa
 
Papa B Diop hata Zidane na Henry wanajua vizuri. Aliwanyoa France kipindi hicho wako katka chati kabisa
 
Ongeza effort Chabala
Patrick "bomba " banda
John Soko
Eston mulenga
Kelvin "malaza "mutale
Robert watiekeni
Derby Makinka
 
Abeid Pele alichezea Ghana na Brazil zote kwa pamoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…