Tujikumbushe Wachezaji wanaotoka mkoa wa Kigoma

Nasikia Sunday Manara alikuwa balaa sana enzi zake,
Ndio aliitwa Computer wakati Tanzania zilikuwa azijafika kipindi hicho, wengi walikuwa wanajua computer ni kifaa cha mahesabu (calculator) ndio wakampa jina ilo kwa mahesabu yake uwanjani
 


Hii 7 ni Ally Kiba. Mbeba maji ya wachezaji Na. 21 ni Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…