Huyu kiboko.Japo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."
Lunya nae Kigoma.Nteze John Lungu
Edibily Lunyamila
Beya Simba
nk
Majuto ni mjukuuJapo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."
Huyo nahisi atakua beki Paul John MasanjaJapo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."
Ndio huyo huyo. Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Anaongea huyoooooooo.Huyo nahisi atakua beki Paul John Masanja
MNGONI huyo mzee wake alilowea MwanzaJerry Tegete
Duh,kumbe mzee Tegete ni mngoni?,ili sikujua mkuuMNGONI huyo mzee wake alilowea Mwanza
Hivi masatu siyo neno la kisukuma kweli likimaanisha wagonjwa!?Masatu ni majina ya mkoa mara mkuu fanya research
Aliitwa "George Magere Masatu".Hivi masatu siyo neno la kisukuma kweli likimaanisha wagonjwa!?