Japo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."