Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

Wacheza mpira na wanamziki wa enzi hizio ndo ilikuwa tabia japo siyo wote
 
inamankusweke

Huu sasa ubishi tu!

Unajua George Magere Masatu, Hussein Marsha, Deo Mkuki, Msonga Rashidi na wenzao watatu walitokea Coop United (Mabingwa wa Mwanza mwaka 1988/89 na kuimarisha TP Lindanda (Pamba FC)?

Uache ubishi usio na tija kwa taifa. Uliza vizuri nikupe historia ya George Magere Masatu na wakali wengine waliokuwa wanatuburudisha miaka hiyo. Sio unavyokurupuka hovyo hovyo.
 
Wakitokea coop united hawezi kuwa msukuma!!?..hebu nieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…