Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Shija Mkina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwa Mkerewe! John Paul Masanja, Michael Paul (MP), Khalfan Ngassa,George Magere Masatu
Wacheza mpira na wanamziki wa enzi hizio ndo ilikuwa tabia japo siyo woteahha hhaa jamaa alikuwa noma,inaonekana timu yake ilipoenda kucheza na Kagera sugar alikuwa na mwanamke huko anapiga mzigo,timu ikienda Moro kukipiga na Moro utd pia alikuwa anachachua kidogo, akiwa Mwanza anapiga pia,akienda Songea kucheza na Majimaji pia anagegeda kidogo,mwisho wa siku watoto 11,lkn saa nyingine kuwa na watoto wengi huwa raha sana
Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?Aliitwa "George Magere Masatu".
Huyu MuhayaFumo Felician
MkongomanKigi makasi
Mngoni huyoCelestine Mbunga
Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Wakitokea coop united hawezi kuwa msukuma!!?..hebu nielewesheinamankusweke
Huu sasa ubishi tu!
Unajua George Magere Masatu, Hussein Marsha, Deo Mkuki, Msonga Rashidi na wenzao watatu walitokea Coop United (Mabingwa wa Mwanza mwaka 1988/89 na kuimarisha TP Lindanda (Pamba FC)?
Uache ubishi usio na tija kwa taifa. Uliza vizuri nikupe historia ya George Magere Masatu na wakali wengine waliokuwa wanatuburudisha miaka hiyo. Sio unavyokurupuka hovyo hovyo.
Wasukuma hawakawii kuchukua jina la kwa mama mkuuMasatu ni moja kati ya majina popular ya wajita mkuu, inawezekana kabisa jamaa ni mjita kwa 100%
Itutu kigi ni babaake mdogoMkongoman
Wasukuma hawakawii kuchukua jina la kwa mama mkuu
Ukienda kwa majina mimi nitasema huyo Mzaramo ndugu! Maana huko Malima wapo pia.Haha huyo mjita
Mtikisiko wa wowowo na hipsBashite A.Daudi...alipiga bonge la penati pale taifa, ni historia!
Wasukuma wengu tu naowajua mie wamechukua majina ya ukoo kwa mama..hii hutokana na utelekezaji wa watoto/familiaMama yangu mjita upande wao masatu yupo sijahadithiwa mkuu
Yunge MwanamsaliMimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...