Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.
 
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.

Yego jaji, huyo muache aendelee kuamini hivyo! [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…