Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Achana nae huyoMasatu ni moja kati ya majina popular ya wajita mkuu, inawezekana kabisa jamaa ni mjita kwa 100%
Duh! huyu mtu yupo wapi? kiungo wa kiasi chake mtoto wa askari jeshi baba yake alikuwa nyanda mzuri tu. Kasiga hana makuu na mtu na mpira ulimjua kwa jina lake.Kasiga machapati
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.
Mkerewe huyuGeorge Magere Masatu
Huyu mhaya banaFumo Felician