Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...
Endelea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...
Masatu ni majina ya mkoa mara mkuu fanya researchGeorge Magere Masatu
Nteza john mtu wa kigoma aiseeNteze John Lungu
Edibily Lunyamila
Beya Simba
nk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kelvin yondan
Simon msuva
mwinyi kazimoto
ahha hhaa jamaa alikuwa noma,inaonekana timu yake ilipoenda kucheza na Kagera sugar alikuwa na mwanamke huko anapiga mzigo,timu ikienda Moro kukipiga na Moro utd pia alikuwa anachachua kidogo, akiwa Mwanza anapiga pia,akienda Songea kucheza na Majimaji pia anagegeda kidogo,mwisho wa siku watoto 11,lkn saa nyingine kuwa na watoto wengi huwa raha sanaJapo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."
Jerry Tegete1: washokela
2: karume songoro
mjita huyo.George Magere Masatu