MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,545
John KabadiMimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John KabadiMimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...
Wakitokea coop united hawezi kuwa msukuma!!?..hebu nieleweshe
OkJielimishe zaidi!
Mbona hujaweka jina la kati la "Sikinde"??Celestine Mbunga
A.K.A Mchana NyavuJohn Makerele zig zag, Nico Bambaga, Fumo Felician
Hahahaha Jf raha sanaBashite A.Daudi...alipiga bonge la penati pale taifa, ni historia!
Lunyamila ni Kigoma mkuuNteze John Lungu
Edibily Lunyamila
Beya Simba
nk
Streika hatari duniani, usajili wake ni wa sayari ya zuhura!Mtikisiko wa wowowo na hips
Nteze na Edibily ni wahaNteze John Lungu
Edibily Lunyamila
Beya Simba
nk
Mngoni huyoJerry Tegete
Sio mngoni Mbunga ni mmwera wa Lindi;naona wengi humu wamekariri mchezaji wa yeyote wa Pamba ya zamani wanajua ni Msukuma na wewe umeongeza wa majimaji unadhan ni wangoniMngoni huyo
Paulo John Masanja ni muongeaji/mcheshi sana. Ukikaa naye hutachoka kumsikiliza. Ni msimuliaji mzuri na ana stori nyingi...hasa za wanawake na vituko vya wachezaji na michezo; mambo ya ulozi kwenye soka, vibweka vya wachezaji, ushamba wa wachezaji, na kadhalika. Kifupi ni mtu mzuri, anayecheka na kila mtu na anayependa utani.Japo mimi sio mshabiki wa michezo lakini nachangia kidogo.
Wiki iliyopita nilitoka Moshi - Mwanza. Nikapanda gari ya Kampuni ya Mohamed Trans iliyokuwa imetoka Tanga - Shinyanga. Nilisikitika moyoni jinsi kondakta wa gari hiyo anaitwa Paul John Masanja alivyokuwa natoa ushuhuda kuwa alikuwa mchezaji tena alichezea timu ya Taifa, akawa anataja nchi mbalimbali walizokwenda kucheza.
Mwishoe akahitimisha kuwa, "namshukuru Mungu sijaadhirika kama waliokuwa wachezaji wenzangu japo nimepata kazi ya ukonda wanangu wanakula. Ila kama nikuchezea hela nilichezea hela. Hapa nina watoto wa nje 11....."