Vijeba utawajua tuNa miss Dominic Chilambo wa kanda ya ziwa. Alikuwa akikutajia line up ya wana TP Lindanda Kirumba unajiskia kama umeshafungwa vile. Halafu kuna Uncle J Nyaisanga, simwoni kwenye list. Kile kipindi chake cha muziki usiku (Disco Show?). Anakuambia leo nimekuandalia vibao ywa kukutoa soksi na na viatu kubakia pale pale. Pia kuna akina Mohamed Kadilu na Bakari Msulwa (mrindimo). Na huyu mama ya Tamwa hujamweka. Pia alikuwepo mwamama mmoja alikuwa anatangaza kipindi cha Kodi na Mapato. Sijui kama hiki kipindi bado kipo.
Sambamba na watangazaji waajiriwa wa RTD, kulikuwa na Watangaji wakitangaza vipindi vya makampuni/taasisi. Hawa pia walikuwa maarufu sana kama:
- Padre Lucas Massawe na Padre Kihaule- Dini TEC
- Sheikh mkuu (Rip) Hemed Bin Jumaa Bin Hemed na Sheihk Kilemile- Uislam hasa mawaidha Ijumaa kama saa nane hivi
- Ibrahim Chemgege- Ushirika
- Ranfred Masako- Chakula na Lishe
- Akajase Mbamba
- Buluba?- Taasisi ya Kuzuia Rushwa
- Mohamed Mhina/ Mwamunyange- Kipindi cha Polisi
- Zainabu Vullu-
- Zainabu Mwatawala- kipindi cha Chuo cha Mzumbe
- Yule kaka akitangaza kipindi cha CDA
- Yule wa kipindi cha Ukulima wa Kisasa
- Pasco wa JF
Swedy Mwinyi, Juma Nkamia na Abubakari Jongoi-mpiraSambamba na watangazaji waajiriwa wa RTD, kulikuwa na Watangaji wakitangaza vipindi vya makampuni/taasisi. Hawa pia walikuwa maarufu sana kama:
- Padre Lucas Massawe na Padre Kihaule- Dini TEC
- Sheikh mkuu (Rip) Hemed Bin Jumaa Bin Hemed na Sheihk Kilemile- Uislam hasa mawaidha Ijumaa kama saa nane hivi
- Ibrahim Chemgege- Ushirika
- Ranfred Masako- Chakula na Lishe
- Akajase Mbamba
- Buluba?- Taasisi ya Kuzuia Rushwa
- Mohamed Mhina/ Mwamunyange- Kipindi cha Polisi
- Zainabu Vullu-
- Zainabu Mwatawala- kipindi cha Chuo cha Mzumbe
- Yule kaka akitangaza kipindi cha CDA
- Yule wa kipindi cha Ukulima wa Kisasa
- Pasco wa JF
Sekioni kitojoMichael Katembo - Asilia Salaam
Uncle J.Nyaisanga - Misakato
Salim Seif Mkamba -Mazungumzo baada ya habari
Swedy Mwinyi, Juma Nkamia na Abubakari Jongoi-mpira
Sara Dumba-
Halima Kiemba-Morogoro
Ben Kiko-kanda ya kati
Michael Katembo - Asilia Salaam
Uncle J.Nyaisanga - Misakato
Salim Seif Mkamba -Mazungumzo baada ya habari