Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Asante kwa kutukumbusha vitu adimu masikioni mwetu.
Je yupo kwa sasa mwandishi twaweza kumfananisha na mmoja wao wa enzi hizo???
 
Wadau, tumewasahau wafuatao:
1. Steven Lyimo- ext service
2.kauye Said-mama na mwana
3.Benard Luanda
4.Jane Ngonge
 
Salim Mbonde - Maarufu sana huyu na inaonekana yeye na RTD ni damu damu maana wengi walihama yeye akaendelea kubaki.
 
Kuna kipindi cha weekend kilikuwa kinaitwa club raha leo show mwakikumbuka watu si makelele na magitaa yanachapwa si mchezo na je kwa wale wa Arusha mwamkumbuka Leonard Mambo Mbotela wa KBC na jw huu ni uungwana? BTW mie bado nasikiliza TBC taifa radio yenye watangazaji makini, vipindi makini na wamemaintain kama miaka hiyo si mibitoz na micheck sistaz ya leo inazikilira redio ya malimbukeni wenye shuleless wa CLOUDSSSSSS

Hahaaaaaaaa..KBC pia alikuwepo Fredy Obachi Machoka
 
1.Omar Jongo

2.Barnabas Mluge

3.Idrissa Sadallah

4.Yusuph Omar Chunda(STZ)

5.Abisai Steven

6.Peter Makorongo

7.Angalieni Mpendu

8.Titus Philipo

9.Bakari Msulwa

10.Michael Katembo

11.Nazir Mayoka

12.Abdul Ngalawa

13.Mohammed Kisengo

14.Abdallah Mlawa

15.Hendrick Michael Libuda

16.Abdallah Idrissa Majura

17.Mikidadi Mahmoud

18.Rosemary Mkangara

19.Wilson Malosha

20.Damian Msangya

21.Nswima Ernest

22.Nathan Rwehabura
 
Hivi Adisai Stephen mshamtaja? Namkumbuka enzi hizo Majira iko juu saa tatu usiku na kijisauti kidogoooo! ''Kutoka hapa Songeaaa ...huyu ni Adisai Stephen... wa Redio Tanzania..kanda ya Ziwa Nyasa''. Zamani bwana enzi hizo nano ufisadi hakuna aliyelifikiria.
 
Hivi Adisai Stephen mshamtaja? Namkumbuka enzi hizo Majira iko juu saa tatu usiku na kijisauti kidogoooo! ''Kutoka hapa Songeaaa ...huyu ni Adisai Stephen... wa Redio Tanzania..kanda ya Ziwa Nyasa''. Zamani bwana enzi hizo nano ufisadi hakuna aliyelifikiria.

Katajwa..Angalia ina namba 5 kwenye post namba 123 hapo juu utaona jina Abisai Steven(si Adisai)
 
Naomba kuuliza tena, Sued Mwinyi yuko wapi siku hizi? Pia Nswima Ernest- yeye alikuwa anaunganisha Nswima Ernest Majira Mbeya. Basi nasikia siku mmoja Rais Mkapa alitembelea Mbeya akamtania wewe jina lako ni Nswima Ernest Majira Mbeya!

Pia kuna watangazaji wa RFA kama Lusungu?, Gumpi Kitheo, Basil Mbakile, Mwansasu siwasikii siku hizi, wako wapi ?
 
Tumemsahau Gilbert Boma, huyu ndugu alihamishiwa RTD Dodoma, sina hakika kama ameshastaafu u laa.
 
mmenikumbusha mbali sana wadau. Mie nimewakumbuka hawa

watangazaji

  1. abdalah mlawa-utampenda kwenye vipindi vya salamu
  2. ahmed jongo
  3. abubakar lyongo
  4. ezekiel malongo-michezo
  5. sango kipozi
  6. hemed kipozi
  7. salum seif mkamba 'mzee wa maneno hayoooooooooooo'-mazungumzo baada ya habari
mafundi mitambo


  1. january konstantine 'jeuri'
  2. lando mabula
  3. tatu ally
  4. magreth eliakimu

watuma salamu


  1. [font=&quot]nyembo juma nyembo[/font]
  2. [font=&quot]issa hassan majeshi[/font]
  3. [font=&quot]zakaria ndemfoo[/font]
  4. [font=&quot]exaud anaeli nnko[/font]
  5. [font=&quot]exaud makyao
    [/font]
  6. [font=&quot]sikujua kilangamsukwa[/font]
  7. [font=&quot]mahundu kundonde[/font][font=&quot][/font]
 
Nadhani exaud makyao atatusaidiana sana akitutajia mabingwa wenzake wa salamu enzi hizo
 
ben kiko yupo tabora, pia kuna Richard Leo huyu anaexist hadi sasa
 
malima ndelema, kipindi chake muhimu ilikuwa majira
 
Karim Besta........Sijui yuko wapi sasa huyu
Aiondoka RTD 1995 akajiunga na Channel Ten, yeye, Kipozi, Bujaga na Betty Mkwasa chini ya bosi Godfrey Mngondo.
1999 Besta na Bujaga wakatimkia Aboud TV Morogoro, Betty na Kipozi wakajiunga ITV.
Mpaka sasa, Bujaga yuko Sokoine TV, Kipozi anajitegemea, Betty kaula U=DC na
2007 Besta alitangulia mbele ya Haki.
RIP Karim Besta.

N.B Karim Besta, alisoma Tambaza miaka ile ya 80's enzi za Tambaza, Tambaza kweli!.
 
1.Omar Jongo

2.Barnabas Mluge

3.Idrissa Sadallah

4.Yusuph Omar Chunda(STZ)

5.Abisai Steven

6.Peter Makorongo

7.Angalieni Mpendu

8.Titus Philipo

9.Bakari Msulwa

10.Michael Katembo

11.Nazir Mayoka

12.Abdul Ngalawa

13.Mohammed Kisengo

14.Abdallah Mlawa

15.Hendrick Michael Libuda

16.Abdallah Idrissa Majura

17.Mikidadi Mahmoud

18.Rosemary Mkangara

19.Wilson Malosha

20.Damian Msangya

21.Nswima Ernest

22.Nathan Rwehabura

Mzee Balantanda, unakumbukumbu wewe,
Nitakupa UP Date ya baadhi yao walipo..

1.Omar Jongo-R.I.P

2.Barnabas Mluge-Retired

3.Idrissa Sadallah-R.I.P


4.Yusuph Omar Chunda(STZ)-TVZ

5.Abisai Steven-Retired

6.Peter Makorongo-TBC Lindi

7.Angalieni Mpendu-Retired

8.Titus Philipo-TBC-Tabora

9.Bakari Msulwa-TBC-Mwanza

10.Michael Katembo-R.I.P


11.Nazir Mayoka-R.I.P


12.Abdul Ngalawa-Retired

13.Mohammed Kisengo-Radio One

14.Abdallah Mlawa-Retired

15.Hendrick Michael Libuda

16.Abdallah Idrissa Majura-BBC

17.Mikidadi Mahmoud-Mkurugenzi Radio Uhuru

18.Rosemary Mkangara- Anaishi Gongo la Mboto, ameachana na Utangazaji.

19.Wilson Malosha

20.Damian Msangya

21.Nswima Ernest

22.Nathan Rwehabura
-Msaani Afrika-Mhariri Mkuu

Watangazaji weingine RIP ni

Abdul Masudi,
Siwatu Luanda
Salama Mfamao
Michae Katembo
Juma Ngodae,
Seif Mkamba
Nelly Kedela
 
Tuwakumbuke na mafundi mitambo ambao wao ndio waliokuwa wanawafanya watangazaji hao wasikike hewani

Mzee Edmund Mria,
Ali Said Tunku,
Noel Namaloe
Tatu said,
Chrispin Lugongo
 
Back
Top Bottom