Mathethamathetha
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 152
- 148
Betty Chalamila ndio Betty Mkwasa unajua
- Jamani external service na Legandary Edda Sanga, ilikuwa burudani
- Watangazaji wa kike na sauti murua, thank God wengine bado wapo: Alacia Maneno, Christine Chokunegela, Betty Chalamila n.k
- Julius Nyaisanga (RIP) wakati anaripoti sherehe mbalimbali utapenda
- Misakato
- Mazungumzo baada ya habari
Nashukuru sana ndiye huyo alikuwa kiburudisho tosha kwenye hiki kipindi. RTD wameondoka wengi tuliowapenda kama Ben Kiko, Michael Katembo na wengine. Ila Dada Sango na kaka Kipozi wapo ila Kipozi alipewa ujiko wa siasa ikawa siyo fani yake. He did not deserve to be there. Kama wangempenda wangempa Mkuu Radio ya nchi (hivi ipo?) or something else. I do not think he is a politician. Nimeishi nao Dom I know them a bit if not more.naona atakuwa Michael Katembo
ameenMola amrehemu mufti Hemed Bin Juma
Ewaaa,asante Patience...Ni marehemu Sara Dumba. Alifariki March 22 mwaka huu akiwa mkuu wa wilaya ya Njombe.
Yes madam,ukifumba na kufumbua macho unazikuta kwenye radio ya jirani anasikilizia mpira wa simba na yanga...Ha ha ha haaa.. Hii comment imenichekesha alfajiri yote hii...
Haikuwa jumapili, bali Jumamosi, Jumapili muda hiyo nadhani kulikuwa na kipindi cha dini ya Kikristo (kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe) kisha kilifuatiwa na Cheichei shangaziHivi mama debora mwenda wa kipindi cha mama na mwana alishakufa au?? Nlikua sibanduki redioni kila jpili saa 8 mchana kusikiliza kipindi cha mama na mwana hadithi za kina adili na nduguze
Kilikuwa kipindi cha Abdalah MlawaKile kipindi cha akina mama - kijaruba!
Juma Ki*lazaAu Juma Mrisho wa Urafiki Jazz Band
Kile kilikuwa chini ya Angalieni MpenduKipindi cha HISIA na MUZIKI nakikumbuka sana!
Mara nyingi alikuwa Abdul Ngalawa, ndio hasa alikuwa mtaalamu wa hiyo kituIvi yule jamaa wa mazungumzo baada ya habari na maneno hayo alikuwaga nani maana alikuwa na maneno kuntu sana yule jamaa! Yuko wapi na anajishughulisha na nini?
Kumbe na wewe wa zamani? Radio kipindi hicho ilikuwa ni asset kubwa sana, sio kila nyumba ilikuwa na radio,Your correct. Nakumbuka nilivyunja mlango wa redio upande wa kuwekea kanda......niliweka kanda, kumbe haijakaa vizuri mie nikang'ang'aniza kufunga mlango, kutahamaki mlango umevunjika, kipigo nilichokipata kutoka kwa mother sitakaa nisahau
Aisee una kumbu kumbu sana!halafu wakati huo magazeti ya kiswahili ni uhuru,mzalendo na mfanyakazi kila jumamosi na pia kiongozi,....Daily news na sunday news ni ya maboss...,ukilipata uhuru unaburudika na chakubanga,polo,bushiri na Chupaki,na enzi ile ukiwa na lips kubwa wanakuita chupaki,siku hizi lips kubwa ni "Fasheni" kwa wadada wa dot com.Kuna kipindi likuwa lazima tusikilize shuleni, kile cha masomo sikumbuki kinaitwaje ila mnasikiliza mwanzo mwisho baadae mwalimu anaanza kuuliza maswali kutokana na kilichofundishwa.
Kipindi cha wakati wa kazi, kilikuwa marvelous hiki kilikuwa kinawahoji wafanyakazi wa mashirika mbali mbali jinsi wanavyofanya kazi, so ilikuwa ni rahisi kujua mashirika yanafanya kazi gani, changamoto wanazokutana nazo n.k
Michael KatemboNaomba mnikumbushe mtangazaji wa kipindi cha ngoma zetu. Alifariki kitambo ila alikuwa na sauti nzuri na vituko akiweka ngoma za wajaluo kwa sana.
Mzalendo wa jumapili ndio kulikuwa na yule kakamiyeAisee una kumbu kumbu sana!halafu wakati huo magazeti ya kiswahili ni uhuru,mzalendo na mfanyakazi kila jumamosi na pia kiongozi,....Daily news na sunday news ni ya maboss...,ukilipata uhuru unaburudika na chakubanga,polo,bushiri na Chupaki,na enzi ile ukiwa na lips kubwa wanakuita chupaki,siku hizi lips kubwa ni "Fasheni" kwa wadada wa dot com.
Nashukuru nimemkumbuka. Imagine tulikuwa tunachora picha ya mtu bila kumwona. Nilichora picha ya michael katembo kama mtu mwembamba, mrefu halafu anavaa suruari za kubana na ana uso mrefu. At least uncle J nilibahatisha kuona picha yake kwenye gazeti alipokuwa ITV. Hivi kuna mtu aliweza ona picha ya Katembo? Tupia basi.Michael Katembo
jumapili sa nane mchana nakumbuka ilikuwa NIPE HABARI,kikitangazwa na mkurugenzi DAVID WAKATI...ndio kipindi pekee ambacho Wakati alikuwa anatangaza,ukimsikia sauti yake mara nyingi itakuwa kuna jambo zito la kitaifa.Haikuwa jumapili, bali Jumamosi, Jumapili muda hiyo nadhani kulikuwa na kipindi cha dini ya Kikristo (kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe) kisha kilifuatiwa na Cheichei shangazi
Nyaisanga hakuwa sana kwenye Habari, habari kama ni nzito sana yenye umuhimu basi Jackob Tesha ndio anachukua jahazi, za kawaida ni wakina Charles Hilali, Abdul Ngalawa, Halima mchuka nkNamkumbuka Julius Nyaisanga (uncle J) alikuwa anasoma taarifa ya habari vizuri sana na alikuwa anatangaza kipindi kingine sijui kilikuwa kinaitwaje! anayekumbuka atukumbushe jamani.