msem
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,833
- 1,628
Na sasa umenikumbusha nyimbo zilizokuwa zinapigwa wakati huo kama ule usemao; "Amewaua ndugu zetu bila kosa lolote masikini....ooh mungu warehemu ndugu zeetu,ameaua na watoto wasiojua lolote masikini...ooh jama,malaika wa muungu...",na ule wa " kufyeka fyeka pori tumkamate nduli huuyoo,tutamkata na kumnyoa manyoya yake...."Siyo kweli. Amin alipigwa moja kwa moja toka vita ilivyoanza, japo kulikuwa na majibizano hapo Lukaya na mahali panaitwa Luweero na Kapeeka. Wakati wote huo, Ben Kuko alikuwa ni burudani tosha kwa ripoti zilizokuwa zibawakejeli askari wa Amin, unaweza kumlinganusha na Jerry Muro lakini kwa sauti ya Hemedi Kivuyo anapokuwa anainanga timu yenu iliyofungwa!!