msem
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,833
- 1,628
Ni shida mkuu!Kweli ndugu.....siku hizi mtangazaji maarufu ni yule anayeonesha umahiri wa kuhamasisha ngono......na ndio maana akili za vijana wetu zimeelekea kwenye ngono tu.....kwa kuwa ni mambo yanayosikika mara kwa mara na kuhamasishwa na vyombo vya habari......
Ki kiukweli tunajenga taifa la vijana wavivu wanaowaza ngono na starehe pasipo kuvuja jasho....,,