Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
Kuna kipindi cha weekend kilikuwa kinaitwa club raha leo show mwakikumbuka watu si makelele na magitaa yanachapwa si mchezo na je kwa wale wa Arusha mwamkumbuka Leonard Mambo Mbotela wa KBC na jw huu ni uungwana? BTW mie bado nasikiliza TBC taifa radio yenye watangazaji makini, vipindi makini na wamemaintain kama miaka hiyo si mibitoz na micheck sistaz ya leo inazikilira redio ya malimbukeni wenye shuleless wa CLOUDSSSSSS
Hivi Adisai Stephen mshamtaja? Namkumbuka enzi hizo Majira iko juu saa tatu usiku na kijisauti kidogoooo! ''Kutoka hapa Songeaaa ...huyu ni Adisai Stephen... wa Redio Tanzania..kanda ya Ziwa Nyasa''. Zamani bwana enzi hizo nano ufisadi hakuna aliyelifikiria.
JUMA NGONDAE sijui yuko wapi huyu
Aiondoka RTD 1995 akajiunga na Channel Ten, yeye, Kipozi, Bujaga na Betty Mkwasa chini ya bosi Godfrey Mngondo.Karim Besta........Sijui yuko wapi sasa huyu
1.Omar Jongo
2.Barnabas Mluge
3.Idrissa Sadallah
4.Yusuph Omar Chunda(STZ)
5.Abisai Steven
6.Peter Makorongo
7.Angalieni Mpendu
8.Titus Philipo
9.Bakari Msulwa
10.Michael Katembo
11.Nazir Mayoka
12.Abdul Ngalawa
13.Mohammed Kisengo
14.Abdallah Mlawa
15.Hendrick Michael Libuda
16.Abdallah Idrissa Majura
17.Mikidadi Mahmoud
18.Rosemary Mkangara
19.Wilson Malosha
20.Damian Msangya
21.Nswima Ernest
22.Nathan Rwehabura