Umenikumbusha mbali sana. Enzi hizooo!!!
Ni wengi sana wametangulia mbele za haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha mbali sana. Enzi hizooo!!!
Wanabodi,
Baada ya Kifo cha Mtangazaji Nguli nchini, Uncle J. Nyaisanga, naomba kuchukua fursa hii, kufanya reflection ndogo ya Watangazaji wa RTD waliotangulia mbele ya haki. Jee unawakumbuka?, unakumbuka vipindi vyao?!, unawakumbuka kwa lipi?!.
Naomba nisizungumzie kulitowatoa duniani, wala hatima ya familia zao walizoziacha huku nyuma maana sio tuu nitazidi kuogopa, bali pia tutazidi kuumia!. Just imagine, kijitaasisi kidogo kama RTD chenye ofisi yake pale BH-Pugu Road kupoteza idadi kubwa hivi ya watumishi wake (tena hawa ninaowataja ni Watangazaji tuu!, achilia watumishi wengine!. Sii bure!, ila lazima tukubali ni kazi ya Mungu, na kazi ya Mungu haina makosa!.
Hii list sio walikufa lini ni random, nikiwakumbuka wengine nitawaongeza!
Tukianzia na
- David Wakati
- Abdul Masudi (Jawewa)
- Eli Mbotto
- Stephen Mlatie
- Siwatu Luanda
- Salama Mfamao
- Salim Seif Nkamba (Mjomba)
- Michael Katembo
- Nelly Kidella
- Halima Mchuka,
- Omar Jongo
- Tumboi Tamimu Risasi
- Mohamed Ng'ombo
- Abisai Stephen (Uronu)
- Stephen Lymo.
- Nadhir Mayoka
- Juma Ngodae
- Rukia Machumu
- Karim Besta
- Henrick Michael Libuda
- Idrissa Sadalah
- Bati Kombwa
- Iddi Rashid Mchatta
- Dominic Chilambo
- Hassan Mkumba
- Khadija Said
- Ally Saleh
- Kwegier Munthali
- Leonard Mtawa
- Khalid Ponera
- Ben Kiko
Jee unawakumbuka?, unakumbuka vipindi vyao?!, unawakumbuka kwa lipi?!.
Pia sio vibaya kuwaulizia wale watangazaji wa siku nyingi ambao hatujui walipo, ili kama nao wametangulia tuyaingize majina yao.
RIP All the Fallen Heroes wa Tasnia ya Utangazaji Tanzania!,
Pascal.

[h=3]Mkuu Watu8, Asante kwa taarifa, nime update list, sasa idadi ya Watangazaji wa iliyokuwa Radio Tanzania, Dar es Salaam (RTD) wamefika 31!, kwa taasisi moja, waliofanya kazi ndani ya jengo moja (BH) pale Pugu Rd, vifo vya watu 31, ni vingi mno!.[/h]kaka Pasco...
Ndugu yetu Ben Kiko naye kapendwa zaidi na Maulana na anaingia kwenye katika list ya wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki...
Hakika ni majonzi tele...
www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/750143-tanzia-ben-kiko-afariki-dunia-2.html#post11011066
Barafu, utakuwa dogo, enzi hizo redio ilikuwa moja tuu, RTD, na kulikuwa hakuna TV, hivyo wale wa zamani, haya ni majina ya kawaida sana!, na huo uliowataja, wa zamani ni Jongo, wengine ni wa juzi kati!.Kuna vitu viwili hapa, eidha umri wangu haujaenda sana kama ninavyodhani au hawa ni wakongwe wa zamani sana. Yaani angalau kwa mbaaaaali nimewahi sikia jina la Omar Jongo pia Halima mchuka. Namkumbuka Sued Mwinyi na Nkamia mpirani. Ila nina uhakika hao kwenye list walikuwa balaaa.
[h=3]Mkuu Watu8, Asante kwa taarifa, nime update list, sasa idadi ya Watangazaji wa iliyokuwa Radio Tanzania, Dar es Salaam (RTD) wamefika 31!, kwa taasisi moja, waliofanya kazi ndani ya jengo moja (BH) pale Pugu Rd, vifo vya watu 31, ni vingi mno!.[/h]
Pasca
Mkuu Ram, Ponera alitutoka siku nyingi!, ila Siwatu alitangulia sana!, alikuwa na mguu hatari!.Kharid Ponela nae ametutoka lini jamani, RIP watangazaji wote wa RTD, sitokuja kumsahau Siwatu Luanda, yule dada alivyokufaga nilitoaga machozi
Jakob Tesha yupo, ni mstaafu, mara mwisho alikuwa wizara ya Habari na Vijana na Utamaduni. Sasa hivi yeye na Edda Sanga wana kampuni ya ushauri wa habari, wanaishauri Mlimani Radio na TV.Wadau hivi Jacob Tesha yuko wapi siku hizi?
Mkuu Masuke, naomba tukumbushane details, alikuwa ni mtangazaji wa lini, vipindi vyake, na alitangulia lini mbele ya haki, ila sio lazima kutaja kilichomtanguliza!.Dada Yetu Restuta Bukoli sijaona jina lake.
Mkuu Masuke, naomba tukumbushane details, alikuwa ni mtangazaji wa lini, vipindi vyake, na alitangulia lini mbele ya haki, ila sio lazima kutaja kilichomtanguliza!.
Pascal.
Huyu alikuwa sister wangu sana, wimbo wake wa mwisho kabla hajaanza kuumwa uliitwa "Ousmane Bakayoko", siku ya kifo chake nilimpigia wimbo "Salama" wa Marijani RajabMarehemu salama mfamao
Masuke, asante kwa taarifa, kumbe huyu ni Mtangazaji wa RTD ya juzi ilipokuwa TBC!, hawa karibu wote ni watangazaji wa zamani iliyokuwa RTD kabla haijawa TBC.Nakumbuka alikuwa anaripoti kutoka Shinyanga hasa kipindi cha majira asubuhi na usiku, na wakati TBC1 (TVT wakati huo) ilivyoanza akawa anaripoti kwenye taarifa za habari za TV kutokea Shinyanga huko huko.
Sikumbuki hasa ni miaka ipi alianza kutangaza, hata mwaka aliofariki exactly sikumbuki ninachokumbuka ni kwamba alifariki kipindi cha Kikwete inaweza kuwa kati ya 2006 na 2007 kwa sababu Kikwete alihudhuria ule msiba na mazishi yalifanyika mkoani mwanza sehemu moja inaitwa Kisesa.
Udaa, Kipindi cha Mama na Mwana ni cha Deborah Mwenda, sasa hivi amestaafu, ila anaendelea na kipindi TBC-1Mimi nakumbuka kipindi cha mama na mwana japo sifahamu kama mama yetu yu hai alitusimulia hadith ya adili na nduguze, kidogo nakipindi cha kombola tulikua kambi ya umishumta bahi sokoni muda huo mwalimu ndyo aliutumia kutuamsha kuanza mazoezi,daa kweli sasa tumezeeka.
Masuke, asante kwa taarifa, kumbe huyu ni Mtangazaji wa RTD ya juzi ilipokuwa TBC!, hawa karibu wote ni watangazaji wa zamani iliyokuwa RTD kabla haijawa TBC.
Hata hivyo nimemuongeza kwenye list.
Thanks.
Pascal
Huyu alikuwa sister wangu sana, wimbo wake wa mwisho kabla hajaanza kuumwa uliitwa "Ousmane Bakayoko", siku ya kifo chake nilimpigia wimbo "Salama" wa Marijani Rajab
Nkizisikia nyimbo hizi, namkumbuka sana Salama!.
Nawe Mkumbuke.
Marijani Raajab - Salama - YouTube
Pascal
Wanabodi,
Baada ya Kifo cha Mtangazaji Nguli nchini, Uncle J. Nyaisanga, naomba kuchukua fursa hii, kufanya reflection ndogo ya Watangazaji wa RTD waliotangulia mbele ya haki. Jee unawakumbuka?, unakumbuka vipindi vyao?!, unawakumbuka kwa lipi?!.
Naomba nisizungumzie kulitowatoa duniani, wala hatima ya familia zao walizoziacha huku nyuma maana sio tuu nitazidi kuogopa, bali pia tutazidi kuumia!. Just imagine, kijitaasisi kidogo kama RTD chenye ofisi yake pale BH-Pugu Road kupoteza idadi kubwa hivi ya watumishi wake (tena hawa ninaowataja ni Watangazaji tuu!, achilia watumishi wengine!. Sii bure!, ila lazima tukubali ni kazi ya Mungu, na kazi ya Mungu haina makosa!.
Hii list sio walikufa lini ni random, nikiwakumbuka wengine nitawaongeza!
Tukianzia na
- David Wakati
- Abdul Masudi (Jawewa)
- Eli Mbotto
- Stephen Mlatie
- Siwatu Luanda
- Salama Mfamao
- Salim Seif Nkamba (Mjomba)
- Michael Katembo
- Nelly Kidella
- Halima Mchuka,
- Omar Jongo
- Tumboi Tamimu Risasi
- Mohamed Ng'ombo
- Abisai Stephen (Uronu)
- Stephen Lymo.
- Nadhir Mayoka
- Juma Ngodae
- Rukia Machumu
- Karim Besta
- Henrick Michael Libuda
- Idrissa Sadalah
- Bati Kombwa
- Iddi Rashid Mchatta
- Dominic Chilambo
- Hassan Mkumba
- Khadija Said
- Ally Saleh
- Kwegier Munthali
- Leonard Mtawa
- Khalid Ponera
- Ben Kiko
- Restuta Bukholi
Jee unawakumbuka?, unakumbuka vipindi vyao?!, unawakumbuka kwa lipi?!.
Pia sio vibaya kuwaulizia wale watangazaji wa siku nyingi ambao hatujui walipo, ili kama nao wametangulia tuyaingize majina yao.
RIP All the Fallen Heroes wa Tasnia ya Utangazaji Tanzania!,
Pascal.
NB. Pia unaweza Kupata Taarifa za Baadhi ya Watangazi waliotutoka hapa.
Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na ...
Tribute to David Wakati: His Legacy Will Live On!
Mzee David Wakati Katutoka Leo Translate this page
Tribute To Uncle J. Nyaisanga: Jee Unamkumbuka kwa Lipi?!. Kuagwa ...
TBC haikumtendea haki marehemu David Wakati - Jamii Forums
- Tribute to Halima Mchuka: Alikuwa Mtu wa Watu!
Halima Mchuka hatunae duniani - Page 2 - JamiiForums
Hii RTD unaikumbuka? - JamiiForums
Msiba wa halima mchuka hauna nafasi tbc - JamiiForums
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa RTD - Jamii Forums
Topic: Nimewakumbuka hawa pia..................zamani... - Jamii ...
Mtangazaji Maarufu wa RTD Amefariki Dunia Asubuhi Hii ..