Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Kwakweli,tena kulikuwa na hadithi za mama na mwana nakumbuka na kipindi cha watoto. Duuuh long time kitambo!
Kipindi cha watoto wetu, ilikuwa kila jumapili saa 2:30 asubuhi, nakumbuka ule wimbo:

"karibu watoto wa Afrikaaaa,
Katika kipindi cha watotooooo,
Msikie nyimbo, muziki na michezo, karibuni tushirikiane wote,
karibuni watotoooo wote...."
 
Pia watangazaji wake mahiri ambao walikuwa wanatangaza kitaaluma hasa kwa kufuata maadili kama akina
Deborah mwenda
Eda sanga na wengineo nimewasahau akina kipozi kama hivyo. Siku hizi ukijua kuongea sana tu umepata kazi hata ethics huzijui mwisho wa siku watu wanakejeliana watangazaji wanaona ni lugha laini tu khaaa!

wewe unawakumbuka watangazaji gani wengine mwenzangu
 
Kipindi cha watoto wetu, ilikuwa kila jumapili saa 2:30 asubuhi, nakumbuka ule wimbo:

"karibu watoto wa Afrikaaaa,
Katika kipindi cha watotooooo,
Msikie nyimbo, muziki na michezo, karibuni tushirikiane wote,
karibuni watotoooo wote...."
Hiyo ilikuwa ya kuanzia kipindi ya kumalizia ubeti.ulikuwa hivi:

kwaherini watoto wote
tukutane juma lijalooo
msikose kipindi cha watoto
asanteni kwaherini woteeee.

Ilikuwa lazima ujongee redioni wakti ukitaradad
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi japo ni dijitali lakini najionea masinema tu maana vurugu zaidi ya habari huta utamu wa zaidi utakaopata. Vya kale dhahabu bwana na hakuna awali mbovu
 
Hiyo ilikuwa ya kuanzia kipindi ya kumalizia ubeti.ulikuwa hivi:

kwaherini watoto wote
tukutane juma lijalooo
msikose kipindi cha watoto
asanteni kwaherini woteeee.

Ilikuwa lazima ujongee redioni wakti ukitaradad
Mkuu...umenikumbusha mbali kidogo!!
 
Juma nani mbona sikuelewi?
Hata nikikujibu hutaweza kusoma inafutwa. Wewe kama uliishi tangu sixtees na seventees unawajua nguri gani wa muziki wa moro? Yule mzee kabla ya Mbaraka mwinshehe aliitwaje? Kama humjui basi wewe mdogo. Je waliofukuzwa Dom JPM aliwaitaje? sasa ukijua hapo badilisha badala ya kuwa wengi weka mmoja ndo jina la huyo mwana mziki. Ongea na mods waulize kwani lugha ina ukomo?
 
Back
Top Bottom