Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Laana kubwa sana hii. Na ndiyo maana Taifa limeshindwa kujisimamia bila kuombaomba. Wastaafu wengi mitaani wamekosa ile raha ya kustaafu, wameathiriwa na kikokotoo hiki.
 
Kwa mara ya kwanza leo Sheikh wangu THE BIG SHOW tumekuwa na mawazo yanayofanana hata kama tuna tofauti zetu kubwa za kiimani. 👍
Wewe Mimi hunipendi tuh bila sababu yoyote kisa Mimi tuh muislam,Haina SHIDA... sisi waislam hatuna tatizo na mtu wa Imani yoyote Ile, uislam unatuambia kuwa sisi tuna dini yetu na hao wengine Wana dini Yao,kila MTU afuate kile kinachompa peace of mind,mwenyezimungu anatosha kuwa hakimu kwetu sote siku ya kiama.
 
Wewe ni mstaafu? Hata kama siyo kweli, pamoja na fomula zako, bado kuna shida. Hivi hujiulizi kama kikokotoo kipya ni kizuri,ni kwa nini Wabunge waliokitungia sheria wamekikwepa? Wao wana cha zamani?
 
Sasa kitu si ndio kilekile tu mkupuo 33% nyingine ni kidogo kidogo.

Sema umeonekana kwamba unajua
 
Hiyo unayoita ni fursa kwa maprofesa ni upumbavu wa serikali kuwabania tuu. Hivi ni akili kupunguzia wengine mafao kwa kigezo kuwa kuna wengine walipunjika? Ni kwa nini usipandishe mafao ya uliowadhulumu yawe sawa na wengine bila athari kwa walio kada nyingine? This is a blind thinking!
 
Tatizo umekalili. Serikali inawapenda mno wafanyakazi wake
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu,huu ni wizi wa mchana kweupe.

Huu ni uonevu ambao Shetani tu anaweza kufanya,na sina shaka yeyote kwamba kwa uovu kama huu na mwingine mwingi unaoendelea nchini mwetu, Tanzania has been handed over to Satan.Niseme wazi,binafsi safari ya Samia kwenda kwa Pope na Oslo kumtembelea Mfalme wa Norway King Harald V wote wakiwa Satanists wakubwa inanifikirisha sana.Ikumbukwe kwamba King Harald V na Queen Elizabeth ni second cousins.Swali ni kwamba kaende huko kufanya nini,tena kwa Satanists?
 
Kwa nini waamuliwe wasiamue wenyewe,walishirikishwa?So labda nikuulize,ameishi mstahafu kafika 72 years,than what.Si ndio atakufa kwa kihoro.Huu ni mpango mahususi wa mauaji,let's face it.
 
Nimeanza kuelewa yale madudu ya watumishi wa umma kwenye ziara za Makonda,ni kama kuna kamgomo ka chinichini na uwizi wa kutosha, watumishi wanajiandalia mafao yao mapema kabla ya kustaafu!
 
Wewe unajua kufanya Biashara?mtu umekaa miaka 30 serikalini alafu uje mtaani kufungua Biashara ambayo hujawai kufanya,unadhani Biashara ni kitu rahisi!
Nyie watumishi wa umma wapuuzi sana!,wataafu wapewe hela yao yote watajua wenyewe cha kufanyia ile siyo hisani!
 
Au wangetoa option kwenye hicho kikokotoo. Yaani kama kuna wastaafu wanataka kupewa hela zao zote baada ya kustaafu, basi wangepewa. Na kama kuna wale wanaotaka kupewa kwa mfumo huu mfumo wao mpya, na wenyewe wangepewa.
 
helani ni zake.kwa ninin umpangie matumizi.mpe zote atajua afanyie nini.mbona wabunge wao wakistafu wanapewa zote 225,000,000.acheni kuwaonea watumishi.mpe hela zake ,azitumie apendavyo.atawagawia watoto wake kama mirathi.inakuhusu nini
Ukizingatia kwa sasa serikali haitoi ajira, kwa nini mtumishi asipewe pesa zake zote awafungulie watoto wake miradi itakayowasaidia kujikimu kimaisha na kumsaidia yeye? huu kwa kweli ni uporaji wa haki za watu.........mbunge yeye akipewa zote hatumii vibaya ila huyu mtumishi ndo kaumbiwa kutumia vibaya pesa za mafao.​
 
Wewe ni mstaafu? Hata kama siyo kweli, pamoja na fomula zako, bado kuna shida. Hivi hujiulizi kama kikokotoo kipya ni kizuri,ni kwa nini Wabunge waliokitungia sheria wamekikwepa? Wao wana cha zamani?
Mkuu,
Hoja yako ni ipi hasa? Unazungumzia namna ya kikokotoo kinavyofanya kazi (kwa maana ya formula) au unazungumzia Jinsi kikokotoo kinavyowakandamiza wastaafu?

Wapi nimesema kikokotoo kipya ni kizuri?? Kuna shida kubwa sana ya ku comment kwenye comment za mbele bila kujua ilikotoke!
 
Halafu TUCTA wasivyo hata na chembe ya aibu wanasema Wafanyakazi eti mameridhia uwepo wa hicho kikokotoo! Na wakati wastaafu wengi wanalalamikia huo wizi na uonevu wa wazi kabisa.
TUCTA ni mithili ya BAKWATA tu, wote matawi ya CCM.

Hii nchi inahitaji divine intervention. Manung'uniko ya nafsi kwa wananchi yamekuwa mengi mno kiasi kwamba bila ya rehma ya Mungu kunaweza tokea tafrani kubwa kuwahi kutokea na majambazi wahusika hawatoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…