Tujipange kugawana hao Mapacha wa Chuo cha Ardhi wenye skendo ya kufanyiana Sup ya Hydrology

Tujipange kugawana hao Mapacha wa Chuo cha Ardhi wenye skendo ya kufanyiana Sup ya Hydrology

Kwanini muwagawane? Hao wenzio wana pesa, mi nimeanza kuwaona dukani kwao miaka hiyo nikidhani duka la familia.

Hata hivyo wamefanya kosa kukiri walichokiri kwenye media. Kama kutakuwa na kikombe chochote cha hukumu hawana budi kukinywea. Hili ndilo kosa lililomkost Zuchu just the other day, kuimba aliyoyaimba kwenye jukwaa (recorded)

Tujifunze; Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha waliopo jela na sisi tuliopo mtaani.
 
Hawawezi kukutwa na hatia endapo wakisema "tulikuwa tunanogesha kipindi kuwatahadharisha watu wawe makini na mapacha kwasababu kuna possibility ya kufanyiana mitahani na si kwamba sisi ndiyo tulifanya"
Hata kama watasema walikuwa wanatania lakini watachunguza kwenye yale waliosema wakikuta ni kweli walitania basi wanakwenda mbele kwa kufunguliwa mashitaka wao na Wasafi kwa kukichafua chuo….! Kwa hiyo huu ni mwaka wao…! Cha msingi wajiunge kwenye Samia queens au Mama Ongea na mwanao…..kinyume na hapo huu mwaka lazima maji waite mma wameyatimba!
 
Kwanini muwagawane? Hao wenzio wana pesa, mi nimeanza kuwaona dukani kwao miaka hiyo nikidhani duka la familia.

Hata hivyo wamefanya kosa kukiri walichokiri kwenye media. Kama kutakuwa na kikombe chochote cha hukumu hawana budi kukinywea. Hili ndilo kosa lililomkost Zuchu just the other day, kuimba aliyoyaimba kwenye jukwaa (recorded)

Tujifunze; Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha waliopo jela na sisi tuliopo mtaani.
Kuna mtu aliniambia ukimuona msichana mzuri na ana makalio na shape ya kuvutia usiseme chochote mpaka aongee kwanza!

Ukisikiliza ile Clip hadi mwisho utagundua kuwa pengine Baba Levo ndiye Engineer pale..😂😂😂
 
Mkuu 😂 hii dhambi nakuachia wewe.

Hawa wasichana, sijui wana mama maana mi nimeanza kuwaona siku nyingi hadi nimeshakuwa mwana mama na mimi, jinsi wanavyoongoza biashara yao ni watu smart sana hata nashangaa imekuwaje na hiyo interview yao. 😮

Sijaona hiyo interview yao ila kuna mtu amesema huko juu kuwa baba Levo alishtuka sana kusikia hivyo, maana yake alijua wameshaunguza picha.
 
Mmh, mapacha wanakamatwa? Watu tumefanyia hadi UE na hatufabani!
 
Back
Top Bottom