binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hata kama watasema walikuwa wanatania lakini watachunguza kwenye yale waliosema wakikuta ni kweli walitania basi wanakwenda mbele kwa kufunguliwa mashitaka wao na Wasafi kwa kukichafua chuo….! Kwa hiyo huu ni mwaka wao…! Cha msingi wajiunge kwenye Samia queens au Mama Ongea na mwanao…..kinyume na hapo huu mwaka lazima maji waite mma wameyatimba!Hawawezi kukutwa na hatia endapo wakisema "tulikuwa tunanogesha kipindi kuwatahadharisha watu wawe makini na mapacha kwasababu kuna possibility ya kufanyiana mitahani na si kwamba sisi ndiyo tulifanya"
Kuna mtu aliniambia ukimuona msichana mzuri na ana makalio na shape ya kuvutia usiseme chochote mpaka aongee kwanza!Kwanini muwagawane? Hao wenzio wana pesa, mi nimeanza kuwaona dukani kwao miaka hiyo nikidhani duka la familia.
Hata hivyo wamefanya kosa kukiri walichokiri kwenye media. Kama kutakuwa na kikombe chochote cha hukumu hawana budi kukinywea. Hili ndilo kosa lililomkost Zuchu just the other day, kuimba aliyoyaimba kwenye jukwaa (recorded)
Tujifunze; Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha waliopo jela na sisi tuliopo mtaani.
Mkuu 😂 hii dhambi nakuachia wewe.Kuna mtu aliniambia ukimuona msichana mzuri na ana makalio na shape ya kuvutia usiseme chochote mpaka aongee kwanza!
Ukisikiliza ile Clip hadi mwisho utagundua kuwa pengine Baba Levo ndiye Engineer pale..😂😂😂