Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids.
Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa kutafakari yaliyopita na kujipanga vizuri kwa yajayo.
Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa kutafakari yaliyopita na kujipanga vizuri kwa yajayo.