Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri.Wanaopiga kura ni wananchi! Vyama vya Upinzani viwe na mikakati ya kuleta ushawishi kwa wananchi na hasa vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Hivyo vikwazo vya kutokwenda Marekani havisaidii kujenga demokrasia. Ikizingatia ni swala BINAFSI. Kwani Marekani ni Mbinguni kwamba usipoenda ndo utakwenda kuzimu? Hao walioambiwa wasiende Marekani hadi leo wamepungukiwa nini?
Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?Well, wewe unaishi maisha yako kwa kutegemea posho unazopata toka ccm., Ni wazi kwamba hufahamu chochote kuhusua Nchi maskini kama Tanzania kuwa na mahusiano mabaya na nchi za mataifa ya nje kama America na Ulaya...
Asante kwa kumwelewesha huyo msaka vyeo. Inaonekana ni kijana wa form 4 au6 tu hivi. Bado anasoma concepts.Well, wewe unaishi maisha yako kwa kutegemea posho unazopata toka ccm., Ni wazi kwamba hufahamu chochote kuhusua Nchi maskini kama Tanzania kuwa na mahusiano mabaya na nchi za mataifa ya nje kama America na Ulaya...
Soma dhana ya international relations na diplomacy,acha kutumia plain knowledge.Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?
Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?
Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?
Msaka vyeo? Concepts?Asante kwa kumwelewesha huyo msaka vyeo.Inaonekana ni kijana wa form 4 au6 tu hivi.Bado anasoma concepts.
Inasemaje hiyo dhana mkuu?Soma dhana ya international relations na diplomacy,acha kutumia plain knowledge.
Bado unayo yale mawazo eti wapiga kura wengi wako vijijini.Wanaopiga kura ni wananchi! Vyama vya Upinzani viwe na mikakati ya kuleta ushawishi kwa wananchi na hasa vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Hivyo vikwazo vya kutokwenda Marekani havisaidii kujenga demokrasia. Ikizingatia ni swala BINAFSI. Kwani Marekani ni Mbinguni kwamba usipoenda ndo utakwenda kuzimu? Hao walioambiwa wasiende Marekani hadi leo wamepungukiwa nini?
Unauliza nini?Wapinzani gani tena jamani mataga si mmeshasema upinzani umefutika tanzania??
Wapinzani gani tena jamani mataga si mmeshasema upinzani umefutika tanzania??Unauliza nini?
Unauliza nini?Wapinzani gani tena jamani mataga si mmeshasema upinzani umefutika tanzania??
Wapinzani gani tena jamani mataga si mmeshasema upinzani umefutika tanzania??Unauliza nini?
Unauliza nini?Wapinzani gani tena jamani mataga si mmeshasema upinzani umefutika tanzania??
Mmenufaika nini?Vikwazo mmepigwa kwa ujinga wenu wapinzani hatuhusiki chochote. Na Bado