Vikwazo mpemigwa na USA uje kuuliza chadema?
Inauma eeh!!
Inauma eeh!!
Mmenufaika nini?
Mmenufaika nini?
VENEZUELA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.Well, wewe unaishi maisha yako kwa kutegemea posho unazopata toka ccm., Ni wazi kwamba hufahamu chochote kuhusua Nchi maskini kama Tanzania kuwa na mahusiano mabaya na nchi za mataifa ya nje kama America na Ulaya.,
Takribani miradi yote iliyopo nchini ambayo saivi munajitapa ni ufadhili kutoka kwenye hizo nchi., huo ni mfano mdogo tu yako mambo mengi lakini hili la wapinzani kufurahia Tanzania inapowekewa vikwazo ni advantage ya kisiasa kwamba ccm na aila zao imeshindwa kuongoza nchi kwa haki na usawa na kwamba sasa dunia nayo pia imeelewa na kufahamu yale ambayo wapinzani wa Tanzania wamekuwa wakiyaonyesha kuhusu udhaifu wa hiyo munayoiita JMT.,
Sasa kama dunia imeyafahamu hayo kuna haja gani kuendelea na huo utawala, ndio mana wapinzani wanataka ku-take advantage ili kuondoa hilo gape na weknesses za Taifa kuhujumiwa na Watanzania kuondokana na umasikini uliokubuhu takriban miaka 57 sasa ambao umechangiwa pa kubwa na hizo tunazoziita ban kutoka kwenye Mataifa yaliyoendelea kama America na Ulaya.
Majibu yote utapata Lumumba kwa Bashiru.Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu.
Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa.
Mfano kipindi taifa ketu limegubikwa na matukio ya raia kutekwa na kupotea , serikali ya Usa wakati huo ilimuwekea zuio la kutoenda Usa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kwa ufupi wapinzani walifurahi sana maana waliona sasa hii kwao ni adhabu tosha kwa watesi wao. Usa ilienda mbali na kuweka zuio la watanzania wote kutocheza bahati nasibu ya green card kwa watanzania wasiende Usa kusaka maisha.
Pia baada ya uchaguzi kuisha wapinzani wamelalama sana na cha kushangaza serikali ya Usa wakati huo iliweka zuio kwa waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi Tanzania bila kutaja majina yao wasikanyage Usa.
Je, haya mazuio ya kutokanyaga Usa yanayowekwa dhidi ya watanzania yana manufaa gani kwa upinzani mpaka wafuasi na viongozi wakenue meno nje? Je toka Paul Makonda awekewe ribiti kwenda Usa upinzani hapa Tanzania umenufaika na nini?
Tija ya kujaliwa ujingaMada Kama hizi mkuu usitegemee kupata majibu ya maana, utaishia tu kuitwa MATAGA, MTAFUTA TEUZI, HUNA AKILI, MASIKINI n.k
Kwa kifupi tu niseme, wapinzani wa nchi hii wapo tayari litokee baya lolote tu ili mradi serikali ishindwe kutawala ili wao wapate madaraka, hapo walipo wanaombea mamia ya watu wafe kwa Corona ili wapate point ( kumbuka jinsi walivyo susia vikao vya bunge kwa kilicho daiwa kujiweka karanitini).
Hapo hata ikitoke shambulio la kigaidi na dar yote akaangamizwa kwa wakati mmoja watafurahi sana kwasababu utakuwa ni msingi mzuri wa wao kuenda Ikulu (kumbuka jinsi walivyo kuwa wakishangilia mauaji ya kibiti)
Hivyo vikwazo kwao wao ni mtaji wa kisiasa wenye lengo la kupata hoja dhidi ya serikali kwasababu hoja za kwanza kwasasa hazina mashiko tena.
Hivi sasa wanalalamikia kukatika katika kwa umeme lakini wakati huo huo wanapinga mladi wa umeme wa mwalimu Nyerere kuwa si kipaumbele cha taifa.
Wakiwachukia , wapinzani watafaidika nini ?!. U communist haufai popote duniani Tz ikiwemoAcha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?
Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?
Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?
Mada Kama hizi mkuu usitegemee kupata majibu ya maana, utaishia tu kuitwa MATAGA, MTAFUTA TEUZI, HUNA AKILI, MASIKINI n.k
Kwa kifupi tu niseme, wapinzani wa nchi hii wapo tayari litokee baya lolote tu ili mradi serikali ishindwe kutawala ili wao wapate madaraka, hapo walipo wanaombea mamia ya watu wafe kwa Corona ili wapate point ( kumbuka jinsi walivyo susia vikao vya bunge kwa kilicho daiwa kujiweka karanitini).
Hapo hata ikitoke shambulio la kigaidi na dar yote akaangamizwa kwa wakati mmoja watafurahi sana kwasababu utakuwa ni msingi mzuri wa wao kuenda Ikulu (kumbuka jinsi walivyo kuwa wakishangilia mauaji ya kibiti)
Hivyo vikwazo kwao wao ni mtaji wa kisiasa wenye lengo la kupata hoja dhidi ya serikali kwasababu hoja za kwanza kwasasa hazina mashiko tena.
Hivi sasa wanalalamikia kukatika katika kwa umeme lakini wakati huo huo wanapinga mladi wa umeme wa mwalimu Nyerere kuwa si kipaumbele cha taifa.
Sijakuelewa mdau, upinzani umepata faida zozote? Hapa Tanzania kuna ucommunist?Wakiwachukia , wapinzani watafaidika nini ?!. U communist haufai popote duniani Tz ikiwemo
Odhis *
UpuuziMajibu yote utapata Lumumba kwa Bashiru.
Mkuu msaada ni kama nguo ya kuazima, kamwe haina stara.Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu.
Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa.
Mfano kipindi taifa ketu limegubikwa na matukio ya raia kutekwa na kupotea , serikali ya Usa wakati huo ilimuwekea zuio la kutoenda Usa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kwa ufupi wapinzani walifurahi sana maana waliona sasa hii kwao ni adhabu tosha kwa watesi wao. Usa ilienda mbali na kuweka zuio la watanzania wote kutocheza bahati nasibu ya green card kwa watanzania wasiende Usa kusaka maisha.
Pia baada ya uchaguzi kuisha wapinzani wamelalama sana na cha kushangaza serikali ya Usa wakati huo iliweka zuio kwa waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi Tanzania bila kutaja majina yao wasikanyage Usa.
Je, haya mazuio ya kutokanyaga Usa yanayowekwa dhidi ya watanzania yana manufaa gani kwa upinzani mpaka wafuasi na viongozi wakenue meno nje? Je toka Paul Makonda awekewe ribiti kwenda Usa upinzani hapa Tanzania umenufaika na nini?
Una maana gani?Mkuu msaada ni kama nguo ya kuazima, kamwe haina stara.
Watanzania tupambane tujijengee uwezo tuwe kama Iran, Qatar, Saudia etc
Zama za America kutawala Dunia zimepita...Una maana gani?
Kwa hiyo tufanyeje?Zama za America kutawala Dunia zimepita...
Kwa hiyo tufanyeje?
#32Mkuu msaada ni kama nguo ya kuazima, kamwe haina stara.
Watanzania tupambane tujijengee uwezo tuwe kama Iran, Qatar, Saudia etc
Point muhimu sana.Kama vikwazo vingekuwa lift kwa upinzani kushika dola basi ZANU PF ya Mugabe ingeshafutika na Morgan wa MDC angefia ikulu.
Wahenga wanasema adui yako muombee njaa na njaa ikimshika inafurahisha hiyooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu.
Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa.
Mfano kipindi taifa ketu limegubikwa na matukio ya raia kutekwa na kupotea , serikali ya Usa wakati huo ilimuwekea zuio la kutoenda Usa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kwa ufupi wapinzani walifurahi sana maana waliona sasa hii kwao ni adhabu tosha kwa watesi wao. Usa ilienda mbali na kuweka zuio la watanzania wote kutocheza bahati nasibu ya green card kwa watanzania wasiende Usa kusaka maisha.
Pia baada ya uchaguzi kuisha wapinzani wamelalama sana na cha kushangaza serikali ya Usa wakati huo iliweka zuio kwa waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi Tanzania bila kutaja majina yao wasikanyage Usa.
Je, haya mazuio ya kutokanyaga Usa yanayowekwa dhidi ya watanzania yana manufaa gani kwa upinzani mpaka wafuasi na viongozi wakenue meno nje? Je toka Paul Makonda awekewe ribiti kwenda Usa upinzani hapa Tanzania umenufaika na nini?
Hi quote inanikumbusha hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaopiga kura ni wananchi! Vyama vya Upinzani viwe na mikakati ya kuleta ushawishi kwa wananchi na hasa vijijini ambako kuna wapiga kura wengi. Hivyo vikwazo vya kutokwenda Marekani havisaidii kujenga demokrasia. Ikizingatia ni swala BINAFSI. Kwani Marekani ni Mbinguni kwamba usipoenda ndo utakwenda kuzimu? Hao walioambiwa wasiende Marekani hadi leo wamepungukiwa nini?
Ndio mana nimesema wewe na mtoa mada hamjui chochote unajua posho yako toka ccm ., jiulize swali dogo tu kwanini mumepeka balozi kwenye hizo nchi?Kwanini Mkuu liwambia mabalozi wake aliowapeleka nje kuiwakilisha Nchi yenu ambaye hatachakarika kuiletea neema Tanzania atamtumbua huko huko aliko?VENEZUELA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
IRAQ imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
LIBYA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
SYRIA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
AFGHANISTAN
imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
SUDAN imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
IRAN imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
DUNIA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka. View attachment 1684154
Wanaelewa sana tu ila wanajitia uchizi ... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Well, wewe unaishi maisha yako kwa kutegemea posho unazopata toka ccm., Ni wazi kwamba hufahamu chochote kuhusua Nchi maskini kama Tanzania kuwa na mahusiano mabaya na nchi za mataifa ya nje kama America na Ulaya.,