Tujitafakari kwa kina: Vikwazo vya Mmarekani vina manufaa kwa siasa za Upinzani?

Mada Kama hizi mkuu usitegemee kupata majibu ya maana, utaishia tu kuitwa MATAGA, MTAFUTA TEUZI, HUNA AKILI, MASIKINI n.k

Kwa kifupi tu niseme, wapinzani wa nchi hii wapo tayari litokee baya lolote tu ili mradi serikali ishindwe kutawala ili wao wapate madaraka, hapo walipo wanaombea mamia ya watu wafe kwa Corona ili wapate point ( kumbuka jinsi walivyo susia vikao vya bunge kwa kilicho daiwa kujiweka karanitini).

Hapo hata ikitoke shambulio la kigaidi na dar yote akaangamizwa kwa wakati mmoja watafurahi sana kwasababu utakuwa ni msingi mzuri wa wao kuenda Ikulu (kumbuka jinsi walivyo kuwa wakishangilia mauaji ya kibiti)

Hivyo vikwazo kwao wao ni mtaji wa kisiasa wenye lengo la kupata hoja dhidi ya serikali kwasababu hoja za kwanza kwasasa hazina mashiko tena.

Hivi sasa wanalalamikia kukatika katika kwa umeme lakini wakati huo huo wanapinga mladi wa umeme wa mwalimu Nyerere kuwa si kipaumbele cha taifa.
 
VENEZUELA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

IRAQ imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

LIBYA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

SYRIA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

AFGHANISTAN
imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

SUDAN imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

IRAN imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.

DUNIA imehujumiwa na marekani mpaka kuporomoka.
 
Majibu yote utapata Lumumba kwa Bashiru.
 
Tija ya kujaliwa ujinga
 
Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?

Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?

Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?
Wakiwachukia , wapinzani watafaidika nini ?!. U communist haufai popote duniani Tz ikiwemo

Odhis *
 
Ww nguchiro mbna wenzenu wanapotea na kukutwa ktk viroba hamsemi???au hao co binaadamu???achen uzumbukuku bhana
 
Mkuu msaada ni kama nguo ya kuazima, kamwe haina stara.

Watanzania tupambane tujijengee uwezo tuwe kama Iran, Qatar, Saudia etc
 
Kama vikwazo vingekuwa lift kwa upinzani kushika dola basi ZANU PF ya Mugabe ingeshafutika na Morgan wa MDC angefia ikulu.
 
Wahenga wanasema adui yako muombee njaa na njaa ikimshika inafurahisha hiyooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hi quote inanikumbusha hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Adui akishikwa njaa baada ya mambo yako huwa ni raha sana hasa pale anapoanza kutapatapa
 
Ndio mana nimesema wewe na mtoa mada hamjui chochote unajua posho yako toka ccm ., jiulize swali dogo tu kwanini mumepeka balozi kwenye hizo nchi?Kwanini Mkuu liwambia mabalozi wake aliowapeleka nje kuiwakilisha Nchi yenu ambaye hatachakarika kuiletea neema Tanzania atamtumbua huko huko aliko?

Beberu ni mtu mjinga asiyethamini na kujua alichonacho kimetoka wapi.,

Nadhan sasa utakuwa umepata mwanga.
 
Wanaelewa sana tu ila wanajitia uchizi ... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…