Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya kampeni kuhamasishana kufanya hivyo.

Suala hilo liliniingia hivyo nilivyorudi Tanzania nimeweka mkakati wa kuchakatana na mwenza wangu kila siku ili niwe sehemu salama. Situmii nguvu sana maana kuchakatana kila siku si jambo dogo.

Wakuu hivi inawezekana ikawa kweli au ndio namaliza nguvu zangu bure.

sex.jpg
 
Hahaha Sisi ambao Serikali ya CCM imetutenga na wapenzi wetu tunaruhusiwa kugonga HG??
 
🎶alisema alisema alisema mwalimu alisema 🎶

Soma huku unaimba kimya kimya
 
Naweka kambi hapa tho nlishaskia mahali hii kitu.
 
Wanawake pia inatuhusu?
Wewe unahusiana na mimi tu ukifanya na mtu mwengine atakuumiza hutopata raha na stress atakazokupa unaweza kupata saratani pia njoo kwangu many k
 
Back
Top Bottom