Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
na bado[emoji1787][emoji1787] bado hamjasema.
maadili gani unasemea mkuuKufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
Kimeanza kuumana😁😁na bado
nyakat za kale kwa baadh ya uma hakuwa wenye kushushiwa kitabu mfano adamu,nuhu n.kmaadili gani unasemea mkuu
Kumbuka ile familia ya kwanza Ya Adam na Hawa, kaka mtu alimuua mdogo wake
kumbuka mambo ya sodoma na gomora, kumbuka garika. kote huko ni utovu wa maadili
Kumbuka kisa cha watoto wa Yakobo kutaka kumuua mdogo wao, kisha wakamuuza
vizuriSadaka tunatoa sana, hatuachi kumtolee Mungu.
Lazima ujue sadaka ni n kwanza na aina zakeKufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
Who told you?Tatizo ni kwamba wanaoamini kwenye hizi hadithi wanapungua.
sadaka unatoa sio kujiuliza itafika au haifiki.Lazima ujue sadaka ni n kwanza na aina zake
Na wapi Kwa kuzitoa ,sio Kila mahali ni salama Kwa kutoa sadaka zako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado hamjasema.
vyuma vimekaza haswa😅Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu,masheikh na waubiri kufanya kazi partial.Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno lake litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka..nawasilisha
Sijaongelea kujiuliza kutoa au kuto toasadaka unatoa sio kujiuliza itafika au haifiki.
Hiko kimsemo nakichukiaga ni basi tu 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]