Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Hivi hawa wenzetu nao huwa wanatutolea mifano kama hiyo ? So kwakua UK au US kuna watu wengi hawaamini basi ndio unaitumia kama reference1. Kuna nchi watu wasioamini ni zaidi ya 50% ya idadi ya watu. Mfano, US, UK....
2. Sifahamu pumzi yangu ilipotoka, ila nina uhakika sio kwa Mungu.