BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
MAOKOTO YA FUNGU LA KUMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daddy we ni mbishi kwenye kutoa maokoto kanisaniTatizo ni kwamba wanaoamini kwenye hizi hadithi wanapungua.
Mi kinanichekesha balaaHiko kimsemo nakichukiaga ni basi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeweza kujiuliza pumzi inatoka wapi?Who told you?
Na Kwa taarifa yako Kuna uamsho sio wa kawaida ,usije shangaa umebaki peke yako!.
Watu wanabadirika sn,wanarudi Kwa Mungu!
Na km unafikiri hizi ni hadithi jiulize pumzi uliyonayo inatoka wapi!
Ila kanasound kike kike ivMi kinanichekesha balaa
1. Kuna nchi watu wasioamini ni zaidi ya 50% ya idadi ya watu. Mfano, US, UK....Who told you?
Na Kwa taarifa yako Kuna uamsho sio wa kawaida ,usije shangaa umebaki peke yako!.
Watu wanabadirika sn,wanarudi Kwa Mungu!
Na km unafikiri hizi ni hadithi jiulize pumzi uliyonayo inatoka wapi!
Kanisa ni taasisi iliyokwisha poteza umuhimu wake.Daddy we ni mbishi kwenye kutoa maokoto kanisani
Kwahiyo mmevisusa VIGANGO?Kanisa ni taasisi iliyokwisha poteza umuhimu wake.
Nadharia za uongo hizo, zimeanza kupuuzwa.Kwahiyo mmevisusa VIGANGO?
Kwahiyo hizo nchi ndo wewe?🤣1. Kuna nchi watu wasioamini ni zaidi ya 50% ya idadi ya watu. Mfano, US, UK....
2. Sifahamu pumzi yangu ilipotoka, ila nina uhakika sio kwa Mungu.
Niliem address ujumbe haamini ndo maana nilimuuliza!Kama umeweza kujiuliza pumzi inatoka wapi?
Unashindwaje kujiuliza Mungu huyo katoka wapi?
Uamsho, Uamsho, Uamsho.. haya maono umeyatoa wapi mkuu au wewe ni mfatiliaji wa Mafundisho ya Mwl Chistopher?Who told you?
Na Kwa taarifa yako Kuna uamsho sio wa kawaida ,usije shangaa umebaki peke yako!.
Watu wanabadirika sn,wanarudi Kwa Mungu!
Na km unafikiri hizi ni hadithi jiulize pumzi uliyonayo inatoka wapi!
mungu anataka umtafute(elimu),anataka umuabudu(sala na sadaka na umuongelee(ufundishe neno).Mungu huyo, Anashindwaje kuwawezesha viongozi wake watangaze neno lake?
Mungu huyo, Anashindwaje kufanya neno lake lifahamike na watu wote duniani kote?
Mungu huyo, Hakujua kwamba Neno lake linapaswa kufahamika na watu wote duniani?
Huku kwetu kiongozi wetu wa kiroho anarekebisha nyumba yake kila week baada ya kupokea sadaka kwenye nyumba ya ibada.Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini,kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na waubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia.
Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka hupotezi ila unajivika vazi la imani kwa kupata rehema za mungu kwa kuwa unapowawezesha walimu neno la mungu litawafika wengi na hata dunia kuongoka vile vile nyumba za ibada zitakuwa kwenye hali nzuri kwa matokeo ya michango yenu ya sadaka.
Nawasilisha
Mungu huyo anatafutwa kwani amepotea?mungu anataka umtafute(elimu),anataka umuabudu(sala na sadaka na umuongelee(ufundishe neno).
Sadaka, Zaka na Fungu la kumi ni WIZI NA UTAPELI.Huku kwetu kiongozi wetu wa kiroho anarekebisha nyumba yake kila week baada ya kupokea sadaka kwenye nyumba ya ibada.
Ananivunja nguvu kabisa kuendelea kutoa sadaka kwenye nyumba za Ibada..
Bora sadaka nimpe masikini kuliko kuchangia nyumba za Ibada.
Kabisa mkuuSadaka, Zaka na Fungu la kumi ni WIZI NA UTAPELI.
Naku uliza hivi [emoji116]Niliem address ujumbe haamini ndo maana nilimuuliza!