Hawajiamini kwa asilimia kubwa na hii kutokana na nadharia kwamba fulani wapo hivi ,Na wao wanaenda kufanya hayo mambo kama kujilinda (mazindiko)
Ubaya ,ukiendea mambo ya kishirikia umemfuata shetani ili uwe sawa itabidi umtukuze kwa kufanya matendo ya kishetani (wizi, dhuluma, utapeli, rushwa ,uzinifu na kuua ) hapo ndo utaenda sawa na shetani.
Ukichunguza nyuma ya mafanikio yao ya kisiasa au uchumi hata kijamii basi Kuna unyama Umefanyika na wengine wameumia kwa kutendea huo unyama labda umwagaji damu (hii kila uchaguzi utasikia mara fulani kakatwa mapanga) yote mtu apate maslahi.
Masikitiko, Kuna watu wanajidanganya kwamba hayo mambo hayapo ila kwa wasomi wa bongo na wafanyabiashara ni kipaumbele kwao kabisa .