mfano mdogo tu jamaa kasema tuanzishe Gazeti la JF, hebu angalia michango ilivyo mingi? hakuna mtu anataka kilimo na ufugaji - ha ha ha

Wana JF!
Katika kuonyesha KILIMO KWANZA kwa vitendo, nimekuwa na wazo kwamba wana JF tunaweza kuunganisha nguvu zetu na kuwa na shamba la kisasa litakaloitwa JAMII FARM. Shamba hili liwe kumbwa sana na linapaswa kuwa la mfano. Shamba hili liwe na mifugo mbalimbali (kuku wa aina zote, ng'ombe (maziwa na nyama), mbuzi, bata mzinga na wengineo; pamoja na bustani za mboga mbalimbali. Hili ni wazo, nakaribisha mawazo ya wengine. Tuwaweza kutumia mfumo wa kuwa na hisa na watu kununua hisa.
Haitakaa itokee watu wanavyorushiana mawe humu halafu unataka kuwakutanisha wewe una hatari wewe!!Pili mimi nipo chile iloshamba litanuhusu vipi??siwote waishio hapo nahisi hata domain ya jf haipo tz kwani ndiyo maana ukituma thread inaonye mda uliotuma thread yako nimda tofauti na huko tz!!Zingatieni hilo wakuu!!

Elnino it is well said... na mimi binafsi nakubaliana kwamba mtaji ni kitu muhimu sana.. ila niseme kuwa kuna mitaji ya aina mbili, mtaji pesa na mtaji muda... kuna watu wana pesa lakini hawana muda wa kufuatilia nini kinaendelea shambani.. kwa hiyo tukiunganisha nguvu mambo yataji-compliment..
El nino aidha umegusia suala kubwa sana-- UHAMASISHAJI.. nakumbuka malila alishawahi kuratibu CHAI DAY.. na kweli nikili kwamba kwangu ilikuwa ni mojawapo ya mkutano uliobadilisha fikra zangu katika kilimo.. maana kwa sasa nimepata shamba katika baadhi ya maeneo na ninawekeza fedha kidogo ya mshahara wangu katika kufanya shughuli za kilimo.
kwa hiyo basi napendekeza, kama kweli tupo serious napendekeza watu wafuatao tupange tukutane kwa sababu nimeona tuna interest za kilimo:
tukubaliane tukutane lini na wapi.
- Malila
- Elnino
- Mimi (Kanyagio)
- Mgombezi
- Maskini Jeuri
- NewMzalendo
- mwingineyo anayemaanisha (narudia tena anayemaanisha kulima)
nimetaja watu wachache kwa sababu ili mambo yaende ni lazima kuwepo na kikundi kidogo cha kujitolea kutengeneza msingi then kundi kubwa zaidi linashirikishwa.
ahsanteni sana

Hili wazo ingekua ni kwa watani/wapinzani/jirani zetu wakenya, dah!......saa hizi watu wanacheka na nyavu na mpira huko kat!
Kanyagio,
Wazo zuri na list mimi naikubali - kwa sababu ya hizi sikukuu za mwisho wa mwaka tukutane mara ya kwanza mwezi January 2011, kama wote tutaafikiana basi PM zitapita ili tubadilishane number za simu.
Mimi naamini kupitia Umoja basi kila kitu kinawezekana.
Elnino it is well said... na mimi binafsi nakubaliana kwamba mtaji ni kitu muhimu sana.. ila niseme kuwa kuna mitaji ya aina mbili, mtaji pesa na mtaji muda... kuna watu wana pesa lakini hawana muda wa kufuatilia nini kinaendelea shambani.. kwa hiyo tukiunganisha nguvu mambo yataji-compliment..
El nino aidha umegusia suala kubwa sana-- UHAMASISHAJI.. nakumbuka malila alishawahi kuratibu CHAI DAY.. na kweli nikili kwamba kwangu ilikuwa ni mojawapo ya mkutano uliobadilisha fikra zangu katika kilimo.. maana kwa sasa nimepata shamba katika baadhi ya maeneo na ninawekeza fedha kidogo ya mshahara wangu katika kufanya shughuli za kilimo.
kwa hiyo basi napendekeza, kama kweli tupo serious napendekeza watu wafuatao tupange tukutane kwa sababu nimeona tuna interest za kilimo:
tukubaliane tukutane lini na wapi.
- Malila
- Elnino
- Mimi (Kanyagio)
- Mgombezi
- Maskini Jeuri
- NewMzalendo
- mwingineyo anayemaanisha (narudia tena anayemaanisha kulima)
nimetaja watu wachache kwa sababu ili mambo yaende ni lazima kuwepo na kikundi kidogo cha kujitolea kutengeneza msingi then kundi kubwa zaidi linashirikishwa.
ahsanteni sana
Asante Realtor kwa Mchango wako!
Sasa ni wakati wa kuchukua hatua; wewe unatakiwa kuwa mfano katika kuleta mabadiliko katika jamii yetu na sio kuwaona majirani wao kama malaika, kuna wakati nao walianza.
Pamoja tunaweza!
Big Up MGOMBEZI and ELNINO.
Now, lets team up for those who are serious