Tujuane hapa mwenzenu mimi navutiwa na wanawake warefu wembamba je wenzangu?

Na cjui kama anaweza kutueleza faida alizopata kutokana na upuuzi wake huo.Kwanza atueleze kama yeye alihusika kwa lolote katika uumbaji mpaka akatokea kama alivyo, ndipo aje na huo upuuzi wake wa kibaguzi. Mnene mwembamba mfupi na mrefu wote wana haki sawa, hayo matamanio yako peleka huko.
 
nyie ndy watekaji mbna hujawa shoga si.huvutiw? sasa iweje ushangae
 
toa earphone izo unapitwa
 
Mi navutiwa na wanaume wa age ya 35 had 40 hv walioumizwa na waliokua na Mahusiano wanataka kupumzka cyo hawa 26 wenzangu ndo kwanza wanaanza kutumia papuchu so kila wanayoona wanaitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…