Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Milembe kumbe itajaa mwaka huu sas mim ninamke nasema napenda mrefu anisaidie nin sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatzo.mkuu ww mgeni bado.humu utazoea tuu ndy maisha yetu alafu ndy maana wakaweka hii kitu humuAfadhali ni earphone sio kiroba, ni bora kushirikishana mambo ya kujengana kuliko mambo ya matamanio binafsi.
na ww ugeni unakusumbua mbna utashangaa mengi karibuMilembe kumbe itajaa mwaka huu sas mim ninamke nasema napenda mrefu anisaidie nin sasa
dy wazur mm nawasaka siwapatiMi navutiwa na wanaume wa age ya 35 had 40 hv walioumizwa na waliokua na Mahusiano wanataka kupumzka cyo hawa 26 wenzangu ndo kwanza wanaanza kutumia papuchu so kila wanayoona wanaitaka
[emoji3]Galby ,rouhy,i love u so much the way you are my handsome one.Always love u to the moon and back,my heart belongs to u beyb.[emoji8][emoji173]Mm ninayempenda ni huyu tu ndo ugonjwa wangu Arabian queen
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji813][emoji3]Galby ,rouhy,i love u so much the way you are my handsome one.Always love u to the moon and back,my heart belongs to u beyb.[emoji8][emoji173]
Mi siko mbali sana na aina tajwa hapo..Kuniuliza napenda wa aina gani ni sawa na kusema hujijui wewe ni wa aina gani?
syo mm.mnanionea
Kama mimi eti?Mi napenda mwanaume anaenipenda!!!!
Mm napenda mwanamme yeyote, I just looking for true love akinipenda nampenda regardless of pesa, mvuto, just awe na akili timam bac
mshamba_hachekwijaman tujuane kabisa mimi ugonjwa wangu ni wanawake warefu wembamba huwa narizika saana je wenzangu....? ata mwanamke waweza toa maoni na wewe