Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tar 16 hiyooooo inakaribia

akina mayeleeeeee wenzangu tupooo?????

Vp akina balekeee huko mpooooo????
 
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga.

Yaani yeye na simba au yeye na Yanga.

Haya hebu tutajane hapa ili tujuane.

kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe

NAANZA MIMI 1:YANGA
Hapo sawa.....YANGA.
 
mimi ni simba nawashauri wenzangu tusipeleke team uwanjani yule mayele hafai
 
Back
Top Bottom