Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Bonge la mtu hivi na nyama uzembe kama zote! Ilikuwa lazima yeye awepo kwenye line-up bila ya hivyo mechi haichezwi.
Mahasimu wao wakubwa walikuwa Town Stars timu ya Soko Matola. Juma Ahmad akitokea Town Stars kabla hajajiunga na Tukuyu Stars kisha akaenda Mecco na kurudi Tena Tukuyu Stars
 
MECCO kwa akina Kasabalala na mgari wao wa Kirusi mbele umeandikwa KAMAZ.

Ukitaka kuwajua huyu ni timu gani pitia post zao ukiona malalamiko, chuki jua ni utopolo zile zilizoenda shule ni simba
😂😂😂😂

B2C5DDE8-807D-42F8-BF2F-360CC01A647C.jpeg
 
Back
Top Bottom