Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Elewa point basi sio unadandia vitu nimekuambia timu kubwa we unaleta habari za uganga inaonekana we mshirikina kichwa kimejaaa stori za waganga tu
ushawahi ona timu ya mtu mmoja?? Kwahiyo hata waganga wakiwa zaidi ya mmoja ni timu pia....itaitwa timu ya waganga...kama vile simba
 
Dada wa Timu kubwa Africa Mashariki na kati. SIMBA Jasho na Damu
 
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga...

Yaani yeye na simba au yeye na yanga...

Haya hebu tutajane hapa ili tujuane...

kuna watu wengine wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani hivo wanaweza kujitaja tu wenyewe hapa tujuane sisi ni watani bhana

NAANZA MIMI 1:YANGA

Just for funny only
Yanga[emoji169][emoji172][emoji169][emoji617][emoji172][emoji123]
 
Mimi ni mwananchi, najivunia kuwa mwananchi 💚💛💚💛💚💛
 
Back
Top Bottom