Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

timu zote kubwa zinavaa jezi nyeupe au nyekundu bayern barce liva man u simba astonvilla madrid kidogo na blue kama azam mbali na rangi hizo ww ni utopolo tu kama norwich kazi yako kushuka na kupanda ligi
 
Mkuu umesahau na kaiza chief,mamelodi sundown.....bila kusahau miamba ya america kusini timu ya taifa ya dunia brazil
 
Back
Top Bottom